U - 'nice guy' umeniponza

Bonge la ujumbe mkuu nimekuelewa vema
 
Ahsante mkuu nimekuelewa vzr
 
Nilidhani umekosa hela kumbe umekosa demu

Acha undezi

Acha akapunguziwe virusi wewe nunua wine kunywa hapo geto kwako shushia mziki au Korean series

Wanawake huwa hawajui wanachotaka sio kosa lako
Thanks sana mkuu
 
Nimekulewa mkuu shukran sana
 
Sawa Mr .nice guy
Hapo demu kaelewa kupigwa shipa tuu na mwamba
Wwe mlamba lips utakula ulipo peleka mboga
Acha ukoro mkuu madem nani ka kwambia u nice guy kwake inshu
Pole kwa kushika mapembe maziwa wakamue wenzio
 
Sawa Mr .nice guy
Hapo demu kaelewa kupigwa shipa tuu na mwamba
Wwe mlamba lips utakula ulipo peleka mboga
Acha ukoro mkuu madem nani ka kwambia u nice guy kwake inshu
Pole kwa kushika mapembe maziwa wakamue wenzio
Daah..very sad mkuu
 
Bangi kwenye familia yetu ni kitu ambacho atukitumii kabisa labda kama kuna njia nyingine unaweza nisaidia fresh
Acha tabia ya kumuonea huruma mwanamke, anza kuwaza kwamba mwanamke ni chombo cha starehe tu na always tumia amri usibembeleze mwanamke. Hapo utafaulu yani.

Dhamira iwe wazi toka mwanzo kuwa lengo ni kumtafuna kimasihara sio kuanza kuulizana story za shuleni 😅 huwa wanajiongeza wenyewe wanajua cha kufanya!
 
Hahahahahhahahah mchague wenyewe sasa kuzika au kusafirisha 😂
 
Bila coment yako huu uzi ungekuwa aujakamilika ila sasa mod anaweza kuufuta tu
 
Alikwambia anataka sh●ga ?? Amna cha u nice guy wala nini Acha kulamba lips kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…