U - 'nice guy' umeniponza

Kuna mwamba mmoja vyumba vyetu vipo jirani sana mshikaji ni bad boy na muonekano wake wa kishamba tu yani ni mtu ambae namzidi kila kitu kuanzia muonekano uvaaji mpaka maisha

Hii inatosha kuonesha jinsi gani wewe ni teenager
Dogo huyu atakuw yupo chini ya miaka 23 hata uandish wake naona hain sqbabu ya kumshaur
 
Embu tupe hiyo THEORY basi..
12th man theory iko hivi.

Kuna demu mzuri ndani ya room na kuna wanaume 11 ndani wote wakimsifia kuwa ni mrembo na kumjazia kila aina ya sifa kama mademu wapendavyo. Then ghafla anaingia mwanaume wa 12 anamuangalia huyo demu mara moja tu na kumsalimia then anaenda kupiga story na masela zake wala hamsifii hata chembe yaani ni kama ameona gogo tu... Sasa huyo ndo mwanaume ambaye huyo mwanamke anamtaka na sio wale 11 wote waliokuwa wanamsifia mda wote. For some reason women don't like good(good guys) .... They say they do but deep inside they don't.

Ndo maana utaona demu yupo na msela anampiga matukio kila siku lakini demu bado yupo nae tu. Ila Kuna jamaa mpole tu hana kwere hana mbwewe type za akina ALEHANDRO lakini demu hana habari nae.
 
Na Kuna kingine ambacho wanacho wasichana tangu wakiwa wadogo. Wakati watoto wa kiume wakicheza mpira na michezo mingine ya kiume wao Wako wanacheza na midoli ya bibi na bwana harusi.

So from wakiwa wadogo tayari kichwani mwao Wana imaginary husband/boyfriend ambaye in their head ni anampa vyote atakavyo all those caring and other stuff and that guy never left and that imaginary guy ndio first love wao. So huyu huwa amekamilika 100% so in their head anakuwa yuko satisfied Mia Mia.

The problem ni kuwa unapokuja wewe na kuanza kumuonyesha caring hizo wansema wanataka kwao ni inakuwa OVERDOING maana yule imaginary man tayari kashafanya yote hayo.... And remember kamwe huwezi kumzidi huyo jamaa. So kwa sababu kufanya kwako hayo Kuna kuwa ni Overdoing then kwake Unakuwa UNAMBOA.

So akija bad boy Yeye anamuonyesha upande ambao hajawahi kuwaza au kuexperience Upande ambao yule imaginary guy hana hata kidogo so. Kwake msichana inakuwa ni balance the Equation.
 
Mdada anayetoka nje ya ndoa au anayechit..... Anatumiwa msg hii kutoka kwa mchepuko "we njoo nikakut.... Mb.." na atafurahi Sana.

Lakini mumewe anaogopa hata kutamka hayo maneno sababu mdada anamuonyesha kuwa Yeye a napenda good guys wenye sweet words [emoji23][emoji1787] but deep down anataka rude bad shit from rude boy.
 
Acha u mama mdogo wng usijione bby face basi ukafikiri ma dem wote wanapenda wanaume ma bby face kuna wengine wazimika na sura za kazi
 
Jiandae kupotea kama utafata ushauri unaotolewa hapa simamia unachokiamini

Pamoja na u-nice guy wangu wa kufoji kulingana na mazingira, nimefanikiwa kuzitafuna mbususu zisizo na idadi

Siku sio nyingi huyo mwanadada atakuletea mbususu yeye mwenyewe Tena akiwa analia chaguo Ni lako kukubali au kukataa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hope unaelewa kimalkia

 
Una anaangaikaje na mwanamke Mkuu wewe fanya mambo yako ikiwa ni pamoja na kumpata yeye.

Kuwa smart sawa ila pia uwe na uwezo wa kuongea, sio unamtaka manzi alafu unaanza visa wewe sema naye alafu sio kisema naye kimafumbo mafumbo wewe funguka ila iwe kimkakati sasa.

Hadi siku akuambie unaonekana mstaarabu ila kumbe mshenzi, then usianze kujipa maujiko au kujitetea wewe kuwa normal alafu fanya mambo yako.

Yaani wewe fanyaga mambo yako tu, kuwa mwanaume aliyepevuka sio kijana wala mtoto.
 
Huyu ni matatizo binafsi nyeto haina urafiki na wadau wa hivi kabisa, huyu anaweza leta u Mr. Nice guy akasema 'Ooh wanangu sorry nimewamwaga bafuni, so sorry dady loves you' [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ahsante sana mkuu na ushauri wako murua
 
Bora ww mkuu mie jobless lkn nawala sina issue, juzi tu nimekutana na chombo kimoja cha chuo bonge la tarko road, nilivaa smart nikam approach nikampiga fix za maana akaingia line, kesho yake tukapanga aje hom, namaanisha bado nambonji kwa wazee [emoji23]

Alikuja hom, moja kwa moja magetoni nikampa show mzee ya maana, tulivyomaliza alivyotoka nilimpa buku tu ya nauli, na blocking juu nikamblock kwny cm[emoji23], Sasa we Leta telemundo

Women love them, f**k them, leave them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…