U - 'nice guy' umeniponza

U - 'nice guy' umeniponza

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Yani hapa naongea kwa jazba sana iko hv, hapa nilipopanga somewhere in Kijitonyama kuna wanawake wengi sana ila asilimia kubwa ni wake za watu sema ndio hivo pia uwalu walu mwingi ukiwa mjanja unacharaza wote.

Sasa mimi kitabia ni nice guy sana yani ni mtu nisiye na mambo mengi huwa nipo bize tu na shughuli zangu, madem wengi wamekuwa wakijilenga sema huwa atufiki mbali tunaachana nadhani kutokana na tabia zangu za kuwa cool sana.

Sasa juzi kati kuna mpangaji mwenzangu alimleta mdogo wake mtoto mmoja mzuri sana kutoka kibaha huko ni mdada mkubwa tu sema ni mzr balaa basi yule dem akaanza kuniletea mazoea kibao yani dem alikuwa kanielewa mbaya nikaona bac hapa tayari nishaokota dodo chini ya mnazi bac mimi na unice guy wangu nikawa najipanga namna ya kuanza kupeleka mashambulizi nadhani mnajua introvert huwa atukurupuki.

Sasa tukiachana na hilo pia kuna mwamba mmoja vyumba vyetu vipo jirani sana mshikaji ni bad boy na muonekano wake wa kishamba tu yani ni mtu ambae namzidi kila kitu kuanzia muonekano uvaaji mpaka maisha kwahiyo alikuwa anipi presha hata kidogo ni mtu wa tandale huko sema tu kaja kuishi sehem iliyoostaarabika, bac huwa anakuja pale home na wahuni wanakula bangi za kutosha na pombe ngumu k-vant na konyagi kwa sana bac jamaa huwa analeta madem pale gheto kwa siku anabadilisha hata watatu sometime anaingiza hata wawili kwa mpigo sometime wanakuwa washkaji watatu na madem watatu bac kinachoendelea humo ndani balaa harufu ya bangi na madem wanapigwa shipa mpaka nje huku watu wanasikia.

Basi bhana kwa tabia zile za mshkaji ndio nikazidi kuwa na amani kwamba jamaa kwa anachokifanya bac awezi kumchukua dem yoyote hapa ukizingatia mimi ni mstaarabu sana yani hata kuingiza dem pale gheto sijawahi bac hapo nikaamini kwamba nina nafasi kubwa ya kumnasa huyu dem mpya aisee kumbe nilikuwa najidanganya maana yule dem mazoea ya kaanza kupungua nikajaribu kuyaforce tukawa fresh ila nlivomtokea dem akachomoa halafu akanikataa mazima aisee niliumia sana.

Sasa leo muda wa saa mbili kasoro usiku huu nimetoka kwenye harakati zangu dem akanipa simu yake nimsetie muda sasa wakati naset c ikaingia text ya yule mwamba jirani yangu bad boy mtoto wa tandale anamwambia dem yeye tayari ashafika lodge flani manzese aisee niliingiwa na baridi yani sikuamini macho yangu.

Nikawaza hv huyu dem amekosa nini kwangu mpaka aende kwa muhuni kama huyu yani mimi na usmat wangu kanipiga chini kaenda kumkubalia mvuta bangi muhuni mzee wa kubadilisha madem na huyu dem anajua fika jinsi jamaa alivyo na madem wengi na bado kamkubalia pamoja na uhuni wake mimi mtu smart ambae sina tabia hizo nimepigwa chini aisee yani hapa nilipo nimechoka nimemrudishia cm yake na tayari muda huu yuko njiani kwenda kutinduliwa na muhuni. Nimeumia sana kwakweli sijui sisi nice guy huwa tunashida gani maana huyu nikama dem wa 8 namkosa kizembe kutokana na atitude zangu.

Naombeni msaada nifanyeje niachane na huu u nice guy maana sioni faida zake kwenye kutafuna mbususu zaidi ya hasara tu nikikumbuka yule dem alivyomzr et anaenda kutinduliwa na yule muhuni muda mfupi ujao nazidi kuchanganyikiwa
 
Back
Top Bottom