U.S Africa Business Forum, Secretary John Kerry and Panel Discussion

U.S Africa Business Forum, Secretary John Kerry and Panel Discussion

Kwa kweli Kikwete ni hasara! Ni Swali rahisi sana liliulizwa kwamba: Ninyi mkiwa kama viongozi wa Africa, ni nini mtazamo wenu kuhusu ugonjwa wa Ebola?

Jibu la rais Kikwete: Ebola ipo huko Afrika magharibi, Tanzania iko Afrika mashariki. Hata hivyo Tanzania tunajitahidi kujijengea uwezo ili pindi ugonjwa huo utakapoingia Tanzania tuweze kuufahamu...

Jibu la rais wa Senegal: Ugonjwa wa Ebola usichukuliwe kama ugonjwa wa Afrika tu bali kama janga la kibinadamu. Natoa mwito kwa viongozi wenzangu wa Afrika na dunia, tushirikiane wote ili tuweze kuutokomeza huu ugonjwa. Vilevile natoa mwito kwa wanasayansi wote duniani kufanya utafiti ili kujua chanzo cha ugonjwa huu ulioathiri maisha ya watu wengi hadi sasa.

My Opinion: Nachelea kusema kwamba hilo jibu la rais wetu ni jibu la watoto wa chekechea. Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka rais mstaafu Mkapa. Haya mambo yeye alikuwa anayaweza. !

Mkuu Jana JK alikuwa kwenye panel ya CSO akapigwa swali, jinsi gani CSO zimesaidia issue za Transparance, accountability kwa serikali na wamejipangaje kwenye issues za gesi? majibu yake sasa bhalaaaaaaaaa!alafu anachomeka na kicheko chake kile ......kuna jamaa wakaidai huyu raisi wa wapi comedian!Raisi wa Ghana majibu yake yalionyesha uelewa. JK alikuwa ana desa na bado halikumsaidia.
 
Kwa kweli Kikwete ni hasara! Ni Swali rahisi sana liliulizwa kwamba: Ninyi mkiwa kama viongozi wa Africa, ni nini mtazamo wenu kuhusu ugonjwa wa Ebola? Jibu la rais Kikwete: Ebola ipo huko Afrika magharibi, Tanzania iko Afrika mashariki. Hata hivyo Tanzania tunajitahidi kujijengea uwezo ili pindi ugonjwa huo utakapoingia Tanzania tuweze kuufahamu... Jibu la rais wa Senegal: Ugonjwa wa Ebola usichukuliwe kama ugonjwa wa Afrika tu bali kama janga la kibinadamu. Natoa mwito kwa viongozi wenzangu wa Afrika na dunia, tushirikiane wote ili tuweze kuutokomeza huu ugonjwa. Vilevile natoa mwito kwa wanasayansi wote duniani kufanya utafiti ili kujua chanzo cha ugonjwa huu ulioathiri maisha ya watu wengi hadi sasa. My Opinion: Nachelea kusema kwamba hilo jibu la rais wetu ni jibu la watoto wa chekechea. Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka rais mstaafu Mkapa. Haya mambo yeye alikuwa anayaweza. !
Shiiiiii..wasikusikie wengine.Pia ukiongea pia uangalie chama ,dini n aukanda unaotokea,watakuita una chuki binafsi. JK alianza kumkashifu mkapa ,hadi alipoanza kukwama ndipo akaanza kuwa kashafa za kuvizia ili kuchukua sifa tuu.Hiyo ndio hasara ya relative TRUTH..kila jibu ni jibu .tunaoamini ktk Absolute TRUTH na RESPONSIBLE ACTIONS..tunaihurumia Dunia hawa vilaza wanaweza jikuta wanaongoza dunia,TZ watz hawajui kweli na uongo,hawajui giza na mwanga, mwezi na jua, vitu si clear na JK NDIO CLARIFIER,Africa hawajui walichjibu jana,walichpanga jana.Na hatari ipo wapi .Watahamisha majibu ili kujenga taswira kuwa wapo na dunia kumbe wapo ktk tundu la choo la dunia.Kwani wakiambiwa wanajitahidi kuonyesha dalilia za kitu kufanyika wanasikia km wameambiwa ni mfano wa kuigwa duniani.
 
Kikwete maskini... kwamba nchi za Afrika zilizokuwa na matatizo kama Somalia na DRC sasa matatizo yao yamekwisha... Africa is now much more safe... Kwa hiyo kwake yeye wanachofanya Boko Haramu huko Nigeria na Al Shabaab huko Kenya ni sawa tu!!! Hayo si matatizo ya Africa...
Angeulizwa kuhusu Mimba za wanafunzi na nini mipango angajibu jibu ya kuonyeha dunia hata kinachofanyika hakihusiki na mipango ,uelewa wala uongozi wa JK....lile JIbu lake mhh.
 
Mkuu Jana JK alikuwa kwenye panel ya CSO akapigwa swali, jinsi gani CSO zimesaidia issue za Transparance, accountability kwa serikali na wamejipangaje kwenye issues za gesi? majibu yake sasa bhalaaaaaaaaa!alafu anachomeka na kicheko chake kile ......kuna jamaa wakaidai huyu raisi wa wapi comedian!Raisi wa Ghana majibu yake yalionyesha uelewa. JK alikuwa ana desa na bado halikumsaidia.
MKUU WATZ WENGI SANA kutoa wa CDM mijadala mingi wanachojibu sicho wanachoamini au kujua.Huwa wakifika pale walichoa nacho kichwani na makaratasi ni irrelevant.Huwa wanadandia vinonjo vya wengine na kuvitaja ,muongoza kipindi naye akijisahau akampa nafasi ya kuclarify au akalishape swali kwa fikra zianzokubalika utawasikia wanapiga yes yes ,wengine wandhani kuwa nae anafikra pana km wengine kumbe alikuwa na kitu tofauti.Hili hapa wale wasomi wa UDSM..ukiwapa kazi ya kuja n amajibu ya hoja fuja fulani kwa maandishi halafu uyakusanye.Kisha ukawahoji wakiwa na wengine utashangaa tofauti.Unaweza fikiri kuwa ni watu tofauti,wa utamaduni tofauti.Si unawasikia CCM bungeni wanaposoma taarifa isiyo ktk maandishi baada ya kujikuta hoja za CDM ni km mbingu na dunia.Wote unaowaona ktk TV ktk vipindi vya akina makwaia ndivyo walipo km JK.Bora miamka hii, miaka ile ya nyuma wakienda UN wengine wanaongelea maendeleo ya dunia ,watu wao,nchi zao.Wao walikuwa wakiongolea ukoloni mamboleo,sijui palestina etc..sijui africa kuandikwa vibaya,sijui Mugame, che, na nani ni mashujaa...km vile ni lazima dunia iawakubali ili shida za africa ziondoke.Kwa JK somalia ipo safi,km anavyosema TZ uchumi umekuwa na nchi ipo shwari sana.
 
Kuchaguliwa JK hata kwa kura chache ,zilizoongeweza na wizi ni kuonyesha jisni hii nchi ilivyopoteza kila misingi.JInsi gani bad guyz(Vichaa,hopeless, dicactors na killers km hitler) wanaweza jikuta sehemu hawakustahili.Sasa nchi nzima hata wasomi wamefuata mifano ya huyu jamaa.Sasa hivi miccm inaamini kuwa ndio kichwa chao .Huyu ndio walimpeleka akajibu hoja za Warioba na watz wakakubali huu ujinga.Ilikuwa ni kufuru kwa hili taifa na matusi makubwa sana kwa FIKRA na mzee warioba.JK ni laana y a kifikra kwa hii nchi.
 
Ndio maana nasema elimu kwanza kwa wananchi , wanaweza kuchanganua mambo.Kwa mfano siasa ya bongo wananchi wanajua nini kuhusu vyama...nothing zaidi ya ufisadi na ukosoaji..Ufisadi ni sifa ya mtu sio chama yeyote aliyoko madarakani anaweza suala ni njia gani za kuthibiti ufisadi ..katiba mpya may be itasaidia.Ukosoaji unamata zaidi ndani ya vyama nje ya vyama ni kushindana sera bora za kuboresha uchumi , utawala bora , elimu n.k .
Sasa wabongo akiwa ccm atapinga chochote cha chadema...akiwa chadema atapinga chochote cha ccm..tunarudi kwenye elimu ndogo na manufaa binafsi ndio unaleta ushabiki wa kijinga.
CCM haijafanya mazuri na napoangalia mbadala napata shida zaidi .
 
Demarco,

..JK amejibu swali halafu moderator akambishia.

..pia Raisi wa Tunisia naye akarukia na kutoa jibu kukanusha kile alichokisema JK.

..unaweza kuangalia dakika ya 51 mpaka 55 ambapo mdahalo ulikwenda kombo kwa Raisi wetu.

..haya majibu aliyotoa JK yanaweza kuwaridhisha moderators wa Kitanzania na audiance ya nyumbani lakini siyo wa huko majuu.

cc Pasco, Honolulu
 
Ndio maana nasema elimu kwanza kwa wananchi , wanaweza kuchanganua mambo.Kwa mfano siasa ya bongo wananchi wanajua nini kuhusu vyama...nothing zaidi ya ufisadi na ukosoaji..Ufisadi ni sifa ya mtu sio chama yeyote aliyoko madarakani anaweza suala ni njia gani za kuthibiti ufisadi ..katiba mpya may be itasaidia.Ukosoaji unamata zaidi ndani ya vyama nje ya vyama ni kushindana sera bora za kuboresha uchumi , utawala bora , elimu n.k . Sasa wabongo akiwa ccm atapinga chochote cha chadema...akiwa chadema atapinga chochote cha ccm..tunarudi kwenye elimu ndogo na manufaa binafsi ndio unaleta ushabiki wa kijinga. CCM haijafanya mazuri na napoangalia mbadala napata shida zaidi .
mkuu mbona na wewe unaweka issue nusunusu si yaleyale sasa.?Si yaleyale ya kujenga mazingira ya kukaa popote kunapoonekan kukubalika.CDM wanafiriki wanapima wanatoa hoja, na wana attach issues.Sasa km ufisadi unarudia rudia ni wazi kuwa CCM nao hawauachi kwa vile hawaajibishwi.Na matokeo yake ndio kusikia sababua za uongo ambazo kuzirekebisha lazima ufisadi ufumuliwe, sasa unawalaumu CDM kuusema mara nyingi km unavyotokea badala ya kuwaambia ccm waache?Sasa utapata wapi sifa za kushauri kwa fikra hizi?Hii nchi ni shida kila anayesimama ni kiporo lazima achanganye asichojua ,huku akitaka hisia za watu zimlinde.
 
Demarco, ..JK amejibu swali halafu moderator akambishia. ..pia Raisi wa Tunisia naye akarukia na kutoa jibu kukanusha kile alichokisema JK. ..haya majibu aliyotoa JK yanaweza kuwaridhisha moderators wa Kitanzania na audiance ya nyumbani lakini siyo wa huko majuu. cc Pasco, Honolulu
Haha..nilishawahi weka thread hapa mods km watanzania wengi walioamua wekea misingi ya KUFIKIRI ktk vichwa vyao viraka wakaitoa na kujumlisha na matusi kibao.NILIWAHI ULIZA WAPI TUTAPATA MODERATOR WENYE WELEDI,MODERATOR AMBAO SI WANAOZIMIA HAWA VIONGOZI VILAZA NA KUHISI WANA JUKUMU YA KUWASIFU N AKUWALINDA KM WALINDA DINI.Mods wanaofikia mahali pa wao kuwa moderated na guest.Mods ambao wakimhoji Rais wa upinzani na wa CCM haitoishia rais wa CCM kumoderate wengine,kupea muda kueleza ujinga na mara nyingine mod kujazia nyamanyama juu ya anachoongea gamba.
 
Last edited by a moderator:
Nicholas,

..nakubaliana na wewe kwamba moderators wetu mara nyingi wanapwaya.

..kwanza maswali yao yako so predictable. pia hawana follow up questions.

cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Demarco,

..JK amejibu swali halafu moderator akambishia.

..pia Raisi wa Tunisia naye akarukia na kutoa jibu kukanusha kile alichokisema JK.

..unaweza kuangalia dakika ya 51 mpaka 55 ambapo mdahalo ulikwenda kombo kwa Raisi wetu.

..haya majibu aliyotoa JK yanaweza kuwaridhisha moderators wa Kitanzania na audiance ya nyumbani lakini siyo wa huko majuu.

cc Pasco, Honolulu

Again wabongo failed to understand what was needed to accomplished in this forum instead you guys politicize .Those leaders were talking to investors not to the moderator,The issue was to lets the USA investors know that it's safe to invest in Africa, security challenges are to as was in 20yrs ago , African are trying to build democratic government .African are changing for good ...

You guys do you know that most of American think Africa is a country? ..they even may cancel tourist trip in Tanzania by thinking there is Ebola .
You can't ask Obama about Mexico just because simply they're neighbors.
There issues we can stand together as Africa and other issue Tanzania should show it's potentials .Tanzania has been doing are lot for Africa no question about that.

JK didn't say there is no conflict in Africa. .he said there are few hot spots now compared to years before, President of Tunisia add two more countries and he still agreed with JK that there are few area with conflict now compared to years before.

Smart politician sale his/her pitch whenever he get a chance , you need to know what you need to tell the audience/investors no matter what the question you're asked .You need to make sure any question or comment which may smear your side you are responding accordingly.

JK and all other the presidents did , well...they sent good message to the investors.
 
..in my opinion JK needed to be in control of the moderator.

..how could he send his message out if the moderator was contradicting him?

..then JK said there are a few "hot spots" now compared to years before, but the Tunisian President interrupted him and gave the impression that the situation was more critical/worse than what JK was claiming.

..JK should have gone back to that point and politely clarify, but to my surprise he conceded to the Tunisian President. Tayari hapo potential investors wataona JK alikuwa alikuwa akibabaisha na kusema UONGO.

..I dont think JK presented himself well enough in that forum. I dont think he was aggressive or convincing enough.
 
..the African Presidents were talking to American investors thru' the moderator, Charlie Rose.

..in my opinion JK needed to be in control of the moderator.

..he can not send his message out if the moderator is contradicting him.

..then JK said there are a few hot spots now compared to years before, but the Tunisian President interrupted him and gave the impression that the situation was more critical/worse than what JK was claiming.

..JK should have gone back to that point and politely clarify, but to my surprise he conceded to the Tunisian President. Tayari hapo potential investors wataona JK alikuwa alikuwa akibabaisha na kusema UONGO.

..I dont think JK presented himself well enough in that forum. I dont think he was aggressive or convincing enough.

Kutafsiri fasihi ni kazi ya fanani....
Audience/Fanani wataamua ,kwa mfano wewe umeshaamua kuhusu ujumbe wa JK na African leaders ,mimi nimeelewa nilivyo elewa, investor mmoja mmoja kaelewa alivyoelewa.Je is mission accomplished hilo yutalijua baada ya kuona respond ya investors...remember hao jamaa wamekuwa wakimpa tuzo za kila aina 1.Impact Leader in Africa 2.Democratic leader of the year in Africa .....Tanzania wanakuja tuu there are potential

Uongo gani aliosema?sehemu gani?
Sehemu ambayo moderator aliongezea swali ni pale JK aliposema kuwa Ebola ipo west and Tanzania iko East africa,moderator akasema kuna ndege pia ,JK aka support ku clarify akasema sio hivyo tuu ila mwaka jana ebola ilikuwa Uganda and kuna mwaka ilikuwa DRC zote ziko mipakana na Tanzania akimaanisha anaungana na moderator kuwa ebola ni concern ya kila mtu ,akaelizea jinsi nchi kama Tanzania walivyojipanga kukabili kwa maana ya kutambua symptoms and contain kwa level ndogo.....
Bro they are bad and good story about Africa...they were there for good story so that investors can come.
Sijawahi mtetea JK wala CCM ila kwa hili namtetea NA bottom-line na support alivyo present...may be he could do better but pia hajaharibu kama inavyotaka kuonyeshwa hapa
 
Kwa kweli Kikwete ni hasara! Ni Swali rahisi sana liliulizwa kwamba: Ninyi mkiwa kama viongozi wa Africa, ni nini mtazamo wenu kuhusu ugonjwa wa Ebola?

Jibu la rais Kikwete: Ebola ipo huko Afrika magharibi, Tanzania iko Afrika mashariki. Hata hivyo Tanzania tunajitahidi kujijengea uwezo ili pindi ugonjwa huo utakapoingia Tanzania tuweze kuufahamu...

Jibu la rais wa Senegal: Ugonjwa wa Ebola usichukuliwe kama ugonjwa wa Afrika tu bali kama janga la kibinadamu. Natoa mwito kwa viongozi wenzangu wa Afrika na dunia, tushirikiane wote ili tuweze kuutokomeza huu ugonjwa. Vilevile natoa mwito kwa wanasayansi wote duniani kufanya utafiti ili kujua chanzo cha ugonjwa huu ulioathiri maisha ya watu wengi hadi sasa.

My Opinion: Nachelea kusema kwamba hilo jibu la rais wetu ni jibu la watoto wa chekechea. Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka rais mstaafu Mkapa. Haya mambo yeye alikuwa anayaweza. !

Kikwete kuhusu Ebola alijibu sahihi kulinda utalii wazungu wako very sensitive kwa magonjwa ya mlipuko na huyo wa senegal kajibu swali vizuri sababu analenga kupata misaada jumuiya ya kimataifa angalia vizuri majibu ya hao maraisi wawili kila moja kajibu sahihi kufuatana na Ebola Situation nchini mwake.Midahalo kama hiyo hutakiwi umjibie mtu mwingine.Usitarajie majibu kufanana.
 
Nynyi mnawaza gesi gesi. Hapo tusahau. Kama ilivyo madini ndivyo ilivyo gesi. Hakuna mabadiliko yatakayo kuja.
Kwanza jambo hili limeharakishwa mno bila mipango sahihi na madhubuti ya kuendeleza nchi.
Siku CCM itakapoachia nchi ndio tutapona.

Ni kweli na inauma!!! Kikwete kauza nchi na gesi na wanyama.

The King.
 
MKUU WATZ WENGI SANA kutoa wa CDM mijadala mingi wanachojibu sicho wanachoamini au kujua.Huwa wakifika pale walichoa nacho kichwani na makaratasi ni irrelevant.Huwa wanadandia vinonjo vya wengine na kuvitaja ,muongoza kipindi naye akijisahau akampa nafasi ya kuclarify au akalishape swali kwa fikra zianzokubalika utawasikia wanapiga yes yes ,wengine wandhani kuwa nae anafikra pana km wengine kumbe alikuwa na kitu tofauti.Hili hapa wale wasomi wa UDSM..ukiwapa kazi ya kuja n amajibu ya hoja fuja fulani kwa maandishi halafu uyakusanye.Kisha ukawahoji wakiwa na wengine utashangaa tofauti.Unaweza fikiri kuwa ni watu tofauti,wa utamaduni tofauti.Si unawasikia CCM bungeni wanaposoma taarifa isiyo ktk maandishi baada ya kujikuta hoja za CDM ni km mbingu na dunia.Wote unaowaona ktk TV ktk vipindi vya akina makwaia ndivyo walipo km JK.Bora miamka hii, miaka ile ya nyuma wakienda UN wengine wanaongelea maendeleo ya dunia ,watu wao,nchi zao.Wao walikuwa wakiongolea ukoloni mamboleo,sijui palestina etc..sijui africa kuandikwa vibaya,sijui Mugame, che, na nani ni mashujaa...km vile ni lazima dunia iawakubali ili shida za africa ziondoke.Kwa JK somalia ipo safi,km anavyosema TZ uchumi umekuwa na nchi ipo shwari sana.

Mkuu nilichojifunza kwa Presida ni haya yafuatayo....... confo anapokuwa kwenye dialogue kama hizi ipo chini n reason behind yaweza kuwa uelewa wa issues, lakini pia approach ya kujibu maswali nayo ni issue(pakuanzia na kumalizia) maswali mengi aliyoulizwa alikuwa anazunguka mbuyu maneno mengi ambayo ni story na wala hayajibu swali. Utayari wa kujibu mara nyingi anakuwa kama ameshtuliwa usingizi me me me ok........ Lakini kuchanganya General and specific statement. Pia maandalizi yake kwenye mikutano kama hii naona iko shida either anapewa material mengi mazuri lakini anashindwa kuya chew na kuinternalize.
 
Hiyo ya ukoloni si ahbari ena acheni uzembe.Taiwan,Hong Kong,South Africa, S korea, etc hazijawahi kuwa huru..kutoka kwa mkoloni mmoja hadi mbabe wa kichina.Yaani wamerudishwa kutawaliwa na mtu aliyepo nyuma kuliko wao ktk kila nyanja zaidi ya wingi wa watu.China wenyewe na nchi nyingine km thailand,malaysia, etc walipata uhuru na sisi na baada yetu.Utumwa wetu ni ktk fikra,kugushi,kujifunza vitu nusu nusu, na kuviacha kukimbilia vingine,kuambina ujinga na wengine kutusupport
ulitaka JK aharibu ili ulete ujinga wako humu.
unatamani angepelekwa shirima au masawe akaongee. JK anawafanya mjione wajinga sana
 
Kikwete kuhusu Ebola alijibu sahihi kulinda utalii wazungu wako very sensitive kwa magonjwa ya mlipuko na huyo wa senegal kajibu swali vizuri sababu analenga kupata misaada jumuiya ya kimataifa angalia vizuri majibu ya hao maraisi wawili kila moja kajibu sahihi kufuatana na Ebola Situation nchini mwake.Midahalo kama hiyo hutakiwi umjibie mtu mwingine.Usitarajie majibu kufanana.
kaka unajaribu kuwafundisha watu ambao wamefeli tangu wakiwa tumboni mwa mama zao. what they see is -ve from the leader of their country. na kwa ujinga wao wanafikiri wanachokiandika kinaishia kwenye pc zao kumbe kinasomwa na dunia nzima
 
Kuchaguliwa JK hata kwa kura chache ,zilizoongeweza na wizi ni kuonyesha jisni hii nchi ilivyopoteza kila misingi.JInsi gani bad guyz(Vichaa,hopeless, dicactors na killers km hitler) wanaweza jikuta sehemu hawakustahili.Sasa nchi nzima hata wasomi wamefuata mifano ya huyu jamaa.Sasa hivi miccm inaamini kuwa ndio kichwa chao .Huyu ndio walimpeleka akajibu hoja za Warioba na watz wakakubali huu ujinga.Ilikuwa ni kufuru kwa hili taifa na matusi makubwa sana kwa FIKRA na mzee warioba.JK ni laana y a kifikra kwa hii nchi.
mangi.. you better park your bags and run.. you don't belong to this country. utakunywa sumu tu wewe kwani mangi hawezi kutia mguu pale alipokanyaga JK.huku aliko JK kunahitaji weledi na uzalendo uliotukuka. sifa ambayo hakuna mangi yeyote atakayekuja kuwa nayo. wizi,ujambazi,utapeli,ufisadi,ukabila,ubinafsi kamwe huviwezi kuwafanya mkamkaribia JK
 
Back
Top Bottom