KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,271
Kwa kweli Kikwete ni hasara! Ni Swali rahisi sana liliulizwa kwamba: Ninyi mkiwa kama viongozi wa Africa, ni nini mtazamo wenu kuhusu ugonjwa wa Ebola?
Jibu la rais Kikwete: Ebola ipo huko Afrika magharibi, Tanzania iko Afrika mashariki. Hata hivyo Tanzania tunajitahidi kujijengea uwezo ili pindi ugonjwa huo utakapoingia Tanzania tuweze kuufahamu...
Jibu la rais wa Senegal: Ugonjwa wa Ebola usichukuliwe kama ugonjwa wa Afrika tu bali kama janga la kibinadamu. Natoa mwito kwa viongozi wenzangu wa Afrika na dunia, tushirikiane wote ili tuweze kuutokomeza huu ugonjwa. Vilevile natoa mwito kwa wanasayansi wote duniani kufanya utafiti ili kujua chanzo cha ugonjwa huu ulioathiri maisha ya watu wengi hadi sasa.
My Opinion: Nachelea kusema kwamba hilo jibu la rais wetu ni jibu la watoto wa chekechea. Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka rais mstaafu Mkapa. Haya mambo yeye alikuwa anayaweza. !
Mkuu Jana JK alikuwa kwenye panel ya CSO akapigwa swali, jinsi gani CSO zimesaidia issue za Transparance, accountability kwa serikali na wamejipangaje kwenye issues za gesi? majibu yake sasa bhalaaaaaaaaa!alafu anachomeka na kicheko chake kile ......kuna jamaa wakaidai huyu raisi wa wapi comedian!Raisi wa Ghana majibu yake yalionyesha uelewa. JK alikuwa ana desa na bado halikumsaidia.