U.S- CHINA Tech War: China ipo miaka kumi(10) nyuma katika utengenezaji wa Chip " C.E.O wa Intel

Endelea kukaza fuvu, nchi yako inamtegemea mchina sababu ya umasikini. Ninaamini hata simu unayotumia ni infinix, tecno, redmi n.k ukihamia Iphone, Samsung, Sony n.k ndo utajua mchina ni mjinga tu upande wa Tech.
Siwezi kupanga hoja na mwanaupinde
 
Naomba nikuelimishe mtoa mada.

Kwanza

Hakuna kitu kinachoitwa US-China Tech war. Hakuna vita bali kuna husda ya US dhidi ya maendeleo ya ki technology na kiuchumi ambayo china ameyapata.

Pili

Huko unakokuita China ana copy-paste, hata US amekufanya sana kupitia kuiba technology ya nchi zingine au kuchukua scientists wa nchi zingine.

US alichukua scientists wa German na ndio waliomsaidia kuunda bomu ya atomic.
 
Endelea kukaza fuvu, nchi yako inamtegemea mchina sababu ya umasikini. Ninaamini hata simu unayotumia ni infinix, tecno, redmi n.k ukihamia Iphone, Samsung, Sony n.k ndo utajua mchina ni mjinga tu upande wa Tech.
Pole yako.
Kwani huyo Samsung mzungu?
Samsung mkorea.
Pia km hujui hizo iPhone zinazalishwa na cheap skilled labours wa China.
Kuna simu zinashindana uwezo na hizo ulizotaja ambazo ni Chinese made OPPO,HUAWEI,XIAOMI,VIVO.
Unapozungumzia top ten smartfones hizo zote zinaingia US anatamba na iPhone tu.
Kama China NI mtoto katika tech asingeongoza katika uundaji na uuzaji wa EV(Electrical vehicles),asingeongoza uundaji wa bullet trains tena toleo la sasa Maglev.
 
Oppenheimer
 
Product yoyote ile ya mzungu, HUWEZI kamwe ifananisha na Mchina. Mchina yupo nyuma sana kumpambanisha na US au ulaya.
Asee mfano mimi ni mtumiaji mzuri wa pikipiki. Ukiendesha pikipiki za mchina ukaja kuendesha na pikipiki za Mjapan kina Honda n.k unaona tofaut kama mbingu na Ardhi.

Mchina kaachwa mbali sana products zake
 
Naomba nikuelimishe mtoa mada.

Kwanza

Hakuna kitu kinachoitwa US-China Tech war. Hakuna vita bali kuna husda ya US dhidi ya maendeleo ya ki technology na kiuchumi ambayo china ameyapata.

Pili

Huko unakokuita China ana copy-paste, hata US amekufanya sana kupitia kuiba technology ya nchi zingine au kuchukua scientists wa nchi zingine.

US alichukua scientists wa German na ndio waliomsaidia kuunda bomu ya atomic.
Marekani haijaiba wala kuchukua mtu yeyote,
Marekani ni nchi ya Wahamiaji, wakina Einstein na wanasayansi wengine wote wamehamia wenyewe huko kama Wahamiaji wengine wote.
 
Asee mfano mimi ni mtumiaji mzuri wa pikipiki. Ukiendesha pikipiki za mchina ukaja kuendesha na pikipiki za Mjapan kina Honda n.k unaona tofaut kama mbingu na Ardhi.

Mchina kaachwa mbali sana products zake
Jf kuna watu wajinga saana kuliko tudhaniavyo, sijui ni chuki au ni nini. Hivi upande wa tech tunaanzaje kumfananisha US na Mchina?

Mkuu bora wewe umejionea ktk pikipiki, tafuta hizi bus chukua hizi yutong, golden deer n.k kisha weka Scania, Volvo, Benz n.k utaona kabisa yutong na wajomba zake ni uchafu tu.

Chukua wahandisi wa majengo kutoka China kisha chukua kutoka ulaya, China utaliona jengo linawaka na kupendeza kwa nje na ndani, after 10 years njoo utazame miundombinu, hakuna sehemu ambayo mchina anafua dafu kwa mzungu, ni vile tu watu wanajitoa ufahamu.
 
Back
Top Bottom