Siwezi kupanga hoja na mwanaupindeEndelea kukaza fuvu, nchi yako inamtegemea mchina sababu ya umasikini. Ninaamini hata simu unayotumia ni infinix, tecno, redmi n.k ukihamia Iphone, Samsung, Sony n.k ndo utajua mchina ni mjinga tu upande wa Tech.
Pole yako.Endelea kukaza fuvu, nchi yako inamtegemea mchina sababu ya umasikini. Ninaamini hata simu unayotumia ni infinix, tecno, redmi n.k ukihamia Iphone, Samsung, Sony n.k ndo utajua mchina ni mjinga tu upande wa Tech.
OppenheimerPole yako.
Kwani huyo Samsung mzungu?
Samsung mkorea.
Pia km hujui hizo iPhone zinazalishwa na cheap skilled labours wa China.
Kuna simu zinashindana uwezo na hizo ulizotaja ambazo ni Chinese made OPPO,HUAWEI,XIAOMI,VIVO.
Unapozungumzia top ten smartfones hizo zote zinaingia US anatamba na iPhone tu.
Kama China NI mtoto katika tech asingeongoza katika uundaji na uuzaji wa EV(Electrical vehicles),asingeongoza uundaji wa bullet trains tena toleo la sasa Maglev.
Huyu jamaa kafanyaje mkuu?Oppenheimer
Asee mfano mimi ni mtumiaji mzuri wa pikipiki. Ukiendesha pikipiki za mchina ukaja kuendesha na pikipiki za Mjapan kina Honda n.k unaona tofaut kama mbingu na Ardhi.Product yoyote ile ya mzungu, HUWEZI kamwe ifananisha na Mchina. Mchina yupo nyuma sana kumpambanisha na US au ulaya.
Marekani haijaiba wala kuchukua mtu yeyote,Naomba nikuelimishe mtoa mada.
Kwanza
Hakuna kitu kinachoitwa US-China Tech war. Hakuna vita bali kuna husda ya US dhidi ya maendeleo ya ki technology na kiuchumi ambayo china ameyapata.
Pili
Huko unakokuita China ana copy-paste, hata US amekufanya sana kupitia kuiba technology ya nchi zingine au kuchukua scientists wa nchi zingine.
US alichukua scientists wa German na ndio waliomsaidia kuunda bomu ya atomic.
Jf kuna watu wajinga saana kuliko tudhaniavyo, sijui ni chuki au ni nini. Hivi upande wa tech tunaanzaje kumfananisha US na Mchina?Asee mfano mimi ni mtumiaji mzuri wa pikipiki. Ukiendesha pikipiki za mchina ukaja kuendesha na pikipiki za Mjapan kina Honda n.k unaona tofaut kama mbingu na Ardhi.
Mchina kaachwa mbali sana products zake