DuuuuuhMkuu Mystery ,juzi nilitembelewa na rafiki zangu wawili kutoka "Ulitsa Miklukho-Maklaya", mmoja ni Mcongoman na mwingine ni Msudani.
Wamesikitika kwa yanayoendelea huko Tanzania mpaka hatua ya kuuliza ni nini kimeipata Tanzania ya Mwalimu!?
Kwani ukiwa DJ na mlevi unaishia gerezani?Lakini DJ mlevi wa konyagi ataendelea kupeta tu.
Wanaogopa wasije kupigiwa kelele na jumuia ya kimataifa, wanavuta muda.Ni kweli wanachukua muda ila wanamvutia kasi hivyo ni swala la muda tu.
Tofautisha kati ya makosa yanayofanywa na mtu binafsi na makosa yanayofanywa kwa maelekezo ya serikali au kubarikiwa na serikali.
Polisisiemu watakuwa na taarifa gani??Kabla ya kuleta propagamda za uongo kama huu. Muwe mnasubiri taarifa za polisi kwanza kujua waliokamatwa wana kosa gani.
Kwa Tz waliouawa ni wangapi??Unajua wangapi ambao wameuawa bila kesi?
Hii ni kwa ajili ya video kwenda viral tu....
Na hata kushtakiwa kwao kulitokana na shinikizo la maandamano...
Ama unajilazimisha upofu ama huelewi...
Wako kati ya wale wa4 wanatembea mitaani furiiiii[emoji3][emoji3]
Wajue wazungu....
Baada ya Floyd wangapi wameendelea kufa?
Waafrika zaidi ya wa4 wamenyongwa baada ya Floyd.
Afadhali wamehamia kwa mji mdogo huko, ukamataji utakuwa rahisiDecisions for Tanzania by international community has been made. Implementations waits unequivocal justifications.
Msije mkasema hatukuwaambia. Tanzania haipo anga za juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kulikua na umuhimu wowote wa kuwakamata Akina Zito huku Pole pole akiendelea na Mikutano Mbeya na kwingineko? Polisi watumie basi hata akili ya kawaida tuU.S. Senate Foreign Relations.
Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.
View attachment 1488178
========
Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.
Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Lakini lazima kuwe na deliberate move ya kuwahimiza kutenda kuliko kusema. Watu waende hata huko USA wakutane nao wazungumze namna ya kushinikiza watu watende haki. Maneno matupu Jiwe hatayasikia.Ni kweli wanachukua muda ila wanamvutia kasi hivyo ni swala la muda tu.
Polisi wanapokea amri, wasilaumiwe, alaumiwe Jiwe, ndiye anatoa maagizo haya . Kama siyo yeye angeliyaqkemea yakakoma. Let us not be short sighted in these simple issues!Hivi kulikua na umuhimu wowote wa kuwakamata Akina Zito huku Pole pole akiendelea na Mikutano Mbeya na kwingineko? Polisi watumie basi hata akili ya kawaida tu
Mbona majirani zetu waanauwezo wa kugomea amri ambazo si halali? No, lazima nao wabebe sehemu ya huu ujinga na ujuha unaondeleaPolisi wanapokea amri, wasilaumiwe, alaumiwe Jiwe, ndiye anatoa maagizo haya . Kama siyo yeye angeliyaqkemea yakakoma. Let us not be short sighted in these simple issues!
Sawa lakini mtanzania wa kawaida atanufaikaje na mpango wa kina Membe?Juhudi ndiyo hizi zineanza
1,Lissu kugombea urais, kubwa zaidi kurudi nchini, wamkamate kama alivyosema polisi yule, WAONE KITAKACHOTOKE.
2.Membe kugombea kupitia chama chochote, wamguse ANUKE,
Anaushawishi wa kimataifa, hata ivo ccm hawajui kuwa yawezekana mpango wa membe unaasisiwa kimataifa.
MUDA NI HAKIMU
Mwambieni atulize makalio tuko bize na maendeleo ya nchi yetuU.S. Senate Foreign Relations.
Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.
View attachment 1488178
========
Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.
Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Matamko ya balozi hufanyiwa kazi na serikali yake sio yeye, mojawapo ni Bashite kupigwa ban kuingia Marekani.Mnajuaga kujazana upepo[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani yule mama wa ubarozi wa marekani si ameondoka!!!!kwa matamkoz yake nilidhani siku anaondoka hapa nchi inaingia shimoni.
Kwa Tz waliouawa ni wangapi??
Waachane na mambo yetu ya ndani, wapambane kuzuia mauaji ya mtu mweusiU.S. Senate Foreign Relations.
Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.
View attachment 1488178
========
Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.
Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Kuna propaganda gani hapo, kwani Zitto hakukamatwa.Kabla ya kuleta propagamda za uongo kama huu. Muwe mnasubiri taarifa za polisi kwanza kujua waliokamatwa wana kosa gani.
Kuliko walio taka kumuua Lissu nje ya eneo linalo lindwa masaa 24Kabisa... inanuka kuliko waliomuua Floyd..
Imasikitisha sana
Bashite mara ya mwisho kwenda US ni lini achana na boss wake.Matamko ya balozi hufanyiwa kazi na serikali yake sio yeye, hiyo in pamoja na Bashite kupigwa ban kuingia Marekani.