Rahi ni nini boss wangu?Natoa rahi weka pembeni U-simba na Yanga ujenge timu kama ni mchezaji wa Simba/Yanga piga chini weka mchezaji atakaye-deriver kitu bora.
Hivi Matola ana cheti daraja gani na uzoefu upi wa kumfanya awe kocha wa timu ya taifa?Kocha mkuu ndagar nini sijui, kocha msaidizi matola&mwenine huyu kibonge wa coastal sijui. Ulitaka maajabu gani mkuu? Sometimes tufikirie. Mtu upo ugenini unatumia holding mildfilder 2. Maybe alitaka tushinde kuanzia matatu kwenda mbele
Sio matola tu! hata kibonge wa coastal union' pamoja na ndagar-- wote wamechaguana tu.! hakuna cha daraja wala nini..kudadekiHivi Matola ana cheti daraja gani na uzoefu upi wa kumfanya awe kocha wa timu ya taifa?
Tifutifu ya Karai hiyo.Sio matola tu! hata kibonge wa coastal union' pamoja na ndagar-- wote wamechaguana tu.! hakuna cha daraja wala nini..kudadeki
Mkuuu unakosea, Wamekuja makocha wa bei mbaya kama Poulsen, Maximo, Amunike nk nk nk. Yaaani hata aje Pochettinooooo au Zidane kwa aina ya Wachezaji wetu Wadumavu, Lishe Duni, Wasiofundishika, Waliobweteka na Vimafanikio kiduuuchu hutokuja kuona Maaajabu kwa hawa andunje wetu mkuu, tuache kuwalaumu makocha.
tatizo wala sio kocha,99% ya wachezaji wanatokea mitaani kwenye ndondo. Bila kuwekeza kwenye akademi hatuwezi kufika kokote