U.T.I sugu mwaka wa pili huu

U.T.I sugu mwaka wa pili huu

Wambie wakuchome sindano fullstop,inagharimu kama forty hivi
 
Huenda unatumia dawa ambazo hazina uwezo wa kutibu tatzo,nenda hospitali zenye vipimo vya culture huwa kiboko ya magonjwa sugu,mdudu anayekusumbua atatibiwa kwa dawa sahihi, maana wanajaribu dawa za kumuua akiwa maabara kabla hujapewa ukatumie.
 
Jaman msaada nna u.t.I mwaka wa pil huu inanisumbua nikitumia daw za hosptali inajirudia
Ugonjwa wa UTI kwa hivi sasa hapo Tanzania umekuwa ni ugonjwa sugu usiotibika Hospitali dawa za hospitali haziwezi kukuponyesha nitafute mimi nikupe dawa utatumia kwa siku 30 na utapona kabisa. Ukihitaji Matibabu toka kwangu
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169

Maradhi ya UTI.jpg
 
Back
Top Bottom