Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Mpaka sasa unatok?Njano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa unatok?Njano
Huo usaha mpaka sasa unatoka?U.t.i
Kwahiyo sasa hiv complain yako kubwa ni nnAutoki
Ahahaha Master kachoka kuulizwa maana hajibuAutoki
Haya niambie sasa hiv una complain ganAmna mkuu netwot tatizo
UTIWalikuambia una nn
Maumivu si ndio?Saiv imeamia kwa kiuno na korodan
Mmmh mkuu hiyo sasa kali!!¡Saiv imeamia kwa kiuno na korodan
Na wakat wanakufanyia vipimo walichukua mkojo ,USAA ama walikufanyia kipimo gan? NitajieSaiv imeamia kwa kiuno na korodan
Kwa sasa huna homa?, hujisikii mwili kukosa nguvu? Hujisikii kichwa kuuma? Hukisikii dalili yyte zaid ya hiyo ya maumivu?Mkojo
Zaid ya hapo hakunaNapataga oma za usiku mara mojamoja