U.T.I sugu mwaka wa pili huu

U.T.I sugu mwaka wa pili huu

Kwa maelezo ysko Mkuu inawezrka UTI uliyokuwa nayo mwanzo infections ime ascend mpaka kwenye kidneys .....Na pia inawezekana una Gonorrhea.......maumivu kwenye testes(korodani) sio kitu cha mchezo mchezo take it serious inawwza ikakupelekea kwenye infertility NA Mara nyingi hiyo inakuwsga ni mojawapo ya complication ya Gono
 
Pia hizo dawa ulizozitaja sometimes zinakuwa resistance to bacteris causing infections.....So may be it'll better for u to shift to other medications which also treat UTI .
 
Kwa maelezo ysko Mkuu inawezrka UTI uliyokuwa nayo mwanzo infections ime ascend mpaka kwenye kidneys .....Na pia inawezekana una Gonorrhea.......maumivu kwenye testes(korodani) sio kitu cha mchezo mchezo take it serious inawwza ikakupelekea kwenye infertility NA Mara nyingi hiyo inakuwsga ni mojawapo ya complication ya Gono
So what can I do mafriend
 
Mkuu tumia dawa zinazoitwa ZAHA-500
ajanta 1x1 (kila siku kimoja kwa siku sita)
Me zimenisaidia sana aisee
 
Back
Top Bottom