uchebe master
Member
- Dec 17, 2016
- 34
- 6
Zingatia usafi wakati wa kujisafisha dats y inajirudiaJaman msaada nna u.t.I mwaka wa pil huu inanisumbua nikitumia daw za hosptali inajirudia
nlikunywa madawa ya kyenyeji hukoo bukoba "akaho" mpaka sasa sina hata kdogo....ilinitesa mnoJaman msaada nna u.t.I mwaka wa pil huu inanisumbua nikitumia daw za hosptali inajirudia
Ugonjwa wa UTI kwa hivi sasa hapo Tanzania umekuwa ni ugonjwa sugu usiotibika Hospitali dawa za hospitali haziwezi kukuponyesha nitafute mimi nikupe dawa utatumia kwa siku 30 na utapona kabisa. Ukihitaji Matibabu toka kwanguJaman msaada nna u.t.I mwaka wa pil huu inanisumbua nikitumia daw za hosptali inajirudia
Powercef =generic name is CeftriaxonePowersafe INJECTION kiboko ya U.TI
ni ke au me ili nikuelekeze tiba rahisi kabisa bila malipo mkuuJaman msaada nna u.t.I mwaka wa pil huu inanisumbua nikitumia daw za hosptali inajirudia
Meni ke au me ili nikuelekeze tiba rahisi kabisa bila malipo mkuu
Tafuta mchaichai mbichi,mint au majani ya rosemerry chemsha unywe nusu kikombe cha kahawa kwa siku 7 mara 2 kutwa
Duh!Powercef =generic name is Ceftriaxone
Tuambie dawa ulixotumia mpaka sasaJaman msaada nna u.t.I mwaka wa pil huu inanisumbua nikitumia daw za hosptali inajirudia
Cipro doxy na sindano za powersefTuambie dawa ulixotumia mpaka sasa