Ua jekundu la Wema Sepetu limeishia wapi?

Zile zilikua kik tu za kumkomesha Zari. Wema na Diamond kila mtu ana mishe zake japo wanakulana kimtindo ila sasa hivi wapo kibiznes zaid na Diamond ndo anamtumia Wema kama tunavyojua Wema huwa ni daraja kuvushia wengine.
Aliumia pale hamisa na daimond wapo mbele nahisi zari ndio alilia kabisa maana wema alionyeshwa akameza hadi mate
 
Akacheka na kinafiki kabisa,naona sasa kaona ajiweke kando kidogo,alidhan atarudiwa yeye mi navyomuona daimond hana hilo wazo kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na zile interview ya kusema mwanamke aliyempenda pekee ni Wema basi akaanza mashauzi na mbwembwe yaani Wema bora akae mbali na diamond anafanya mambo yake akiwa na dai anakuwa km kavurugwa vile.

Mara Wii forever, Mara African beauty kaaahh!!!
 
Alichizika anakuwa kama mwehu,,nadhani anataka ile fame atembee nayo ya daimond si alikuwa anaona zari alivyo akija bonho inavyokuwa
 
Alichizika anakuwa kama mwehu,,nadhani anataka ile fame atembee nayo ya daimond si alikuwa anaona zari alivyo akija bonho inavyokuwa
Mwenziwe Zari kajitengeneza brand baada ya kua diamond,fan base kubwaa na biashara za hapa na pale!

Wema akiwa na Mondi anaishia kula bata tu na sifa za kijinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…