Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Aliumia pale hamisa na daimond wapo mbele nahisi zari ndio alilia kabisa maana wema alionyeshwa akameza hadi mateZile zilikua kik tu za kumkomesha Zari. Wema na Diamond kila mtu ana mishe zake japo wanakulana kimtindo ila sasa hivi wapo kibiznes zaid na Diamond ndo anamtumia Wema kama tunavyojua Wema huwa ni daraja kuvushia wengine.