Ua jekundu la Wema Sepetu limeishia wapi?

Ashukuriwee melo na uzi wa hamorapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu natamani hata nifanye pati ya kuwashukuru wazazi wake kwa kunipa mwanaume mzurii na mwenye akili nyingiiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha weee; harmo rapa huyu huyuu!!
Jf binamu naiheshimu haswaa
 
Binam nawe imekupa niniii tubadilishane maujuzi basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu acha jamani napendwa miyeeeee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu acha jamani napendwa miyeeeee
Nakuja pm kwa mara nyingine binam hureeeeeeeee raha sana kupendwaa na kupendana toka nimpate g nalala usingizi mzurii sioti nakabwa wala nini jamaniii
 
Aliumia pale hamisa na daimond wapo mbele nahisi zari ndio alilia kabisa maana wema alionyeshwa akameza hadi mate

Yani ilimchoma kabisa, zari atakua kashapoa sasa hivi, maumivu huwa hayadumu, Ila zari Ana dharau sana
 
Ile African beauty akajishaua kaimbiwa yeye kutwa kuji postisha, yani wema ndio maana hazai Mungu anajua , angezaa na diamond sijui angekuaje, hamisa mwenyewe hajishauag vile, wema anatia aibu , yan anajipendekeza kwa domo hatar
 
Mahaba jamani mahaba we huoni Zari alivyokua anakalishwa uchi kwenye mitandao,kutwa kushikwa shikwa bimkubwa yule jamani kaaahh!!

Kumbe diamond alikua anatafuta incubator tuu!!!!
 
Udada na aliyemgundua Wema umekwisha, siku hizi anaitwa tako pembe nne.
Nimechekaaa eti pembe nne hahahhhh
Wema sijui kwa nini akili yake kama haina akili umri alionao alipashwa afahamu jua limezama atachezewaaaa tu at the end of the day atakuwa hana makazi sababu hana kazi hana watoto sababu anazijua mwenyewe hana mume au mchumba sababu anajirahisisha kwa kila ajaye. Sijui hatambui Umiss uliisha kitambo kuna wazuri waliozaliwa baada yake wengi tuuuuu ameshakuwa mtu mzima sijui kwa nini hatambui hilo.
 
Alimtibua dada yake wa hiari kwa kuwaasa watu vwasiandamane
 
[emoji23][emoji23][emoji23] forever wii kahamia kwa wii walioshea bwana afu akazaa na domo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…