Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
Ua la kitenge ambalo kwa kizungu laitwa COLEUS PLANT, ni mojawapo ya maajabu mengi katika tiba ya msradhi sugu.
Inawezekana unalifahamu pia unalo katika bustani yako. Jani hili linatibu maradhi mengi. Lakini leo ninakupa moja ya maradhi sugu linavyoweza kutibu
VIDONDA
1. Donda ndugu (kilichoshindikana)
2. Kidonda cha kawaida
3. Michubuko
4. Matatizo ya ngozi (punye n.k.)
5. Vidonda vya upasuaji visivyofunga
6. N.K.
MATUMIZI
1.
Chukua jani moja safi la kitenge, fikicha kwenye kiganja hadi liwe ujiuji.
2.
Paka ujiuji huo kwenye kidonda au eneo lililoathirika. Fanya hivi ahsubuhi na jioni hadi upone.
Tiba hii ni suluhisho kwa maradhi ya ngozi yaliyoshindikana
NB
Ukiianza tiba hii, usiache wala kukatisha matibabu ya hospitali.
MMEPEWA BURE
TOENI BURE
Tusaodiane kuendeleza maisha