Uadui siasani uko huku chini kwa akina Mdude vs Lucas kule Juu Dr Nchimbi amesema " Mbowe alinipigia Simu mara 5"

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hili liwe funzo zuri Kwa Wanasiasa wadogo Wadogo akina Yeriko, Maranja, Mdude, Choice variable nk

Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Mbowe alimpigia Simu mara 5 Ili kumjulisha habari za mauwaji ya Shujaa Ally Mohamed Kibao lakini yeye Nchimbi hakupokea kwani alishapata taarifa na alikuwa amevurugwa kweli kweli

Dr Nchimbi amesema alimjibu Mh Mbowe Kwa meseji na wakawa wameelewana.

Huu ndio Ukomavu wa kisiasa siyo kila jambo ni Siasa uchwara na kutukanana tu.

Soma Pia: Dkt Nchimbi: CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe

Mungu wa mbinguni awabariki sana Dr Nchimbi na Freeman Mbowe

Ahsanteni sana 🌹
 
Hili liwe funzo zuri Kwa Wanasiasa wadogo Wadogo akina Yeriko, Maranja, Mdude, Choice variable nk

Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Mbowe alimpigia Simu mara 5 Ili kumjulisha habari za mauwaji ya Shujaa Ally Mohamed Kibao lakini yeye Nchimbi hakupokea kwani alishapata taarifa na alikuwa amevurugwa kweli kweli

Dr Nchimbi amesema alimjibu Mh Mbowe Kwa meseji na wakawa wameelewana

Huu ndio Ukomavu wa kisiasa siyo kila jambo ni Siasa uchwara na kutukanana tu

Yaani wewe mjinga unajua kubadilika kulingana na upepo unapoelekea
 
Huwa najaribu kuwaza TU
Huenda kuelekea 2025 Kuna mtu anataka kuitumia chadema kama platform kumuondoa Samia na Samia kwa kujua hili ameamua kuweka urafiki wa karibu wa chama chake na chadema hali ambayo haimfurahishi huyo mtu na ameamua kutengeneza vita ya kuhakikisha anafarakanisha chadema na Samia ili iwe rahisi yeye kuitumia na ndio maana Kila mara nchimbi anajitahidi kuweka hali sawa hasa pale panapotokea sintofahamu
 
Hili liwe funzo zuri Kwa Wanasiasa wadogo Wadogo akina Yeriko, Maranja, Mdude, Choice variable nk

Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Mbowe alimpigia Simu mara 5 Ili kumjulisha habari za mauwaji ya Shujaa Ally Mohamed Kibao lakini yeye Nchimbi hakupokea kwani alishapata taarifa na alikuwa amevurugwa kweli kweli

Dr Nchimbi amesema alimjibu Mh Mbowe Kwa meseji na wakawa wameelewana

Huu ndio Ukomavu wa kisiasa siyo kila jambo ni Siasa uchwara na kutukanana tu

Mungu wa mbinguni awabariki sana Dr Nchimbi na Freeman Mbowe

Ahsanteni sana 🌹
petty issues
 
Kwahiyo umemaanisha nini hapo? Kwamba wasiwepo wanasiasa wadogo?
 
Hapa bongo na 🤑 haishangazi Chadrama kiongozi wao kuwa hivyo.. Si mara ya kwanza.

UMEANDIKA KI LAYMAN SANA. VILAZA HUWA MNADHANI SIASA NI VITA NDO MNAKUWA NA AKILI ZA KIUAJI. NCHI ZA WASTAARABU WANASIASA WANABISHANA KWA HOJA. BUT HAWAWI MAADUI. NENDA KENYA TU HAPO
 
Hili liwe funzo zuri Kwa Wanasiasa wadogo Wadogo akina Yeriko, Maranja, Mdude, Choice variable nk

Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Mbowe alimpigia Simu mara 5 Ili kumjulisha habari za mauwaji ya Shujaa Ally Mohamed Kibao lakini yeye Nchimbi hakupokea kwani alishapata taarifa na alikuwa amevurugwa kweli kweli

Dr Nchimbi amesema alimjibu Mh Mbowe Kwa meseji na wakawa wameelewana

Huu ndio Ukomavu wa kisiasa siyo kila jambo ni Siasa uchwara na kutukanana tu

Mungu wa mbinguni awabariki sana Dr Nchimbi na Freeman Mbowe

Ahsanteni sana 🌹
Ugomvi uko huku kwa akina Choka mbaya 😅
Wanadhani wakifanya ukatili watapewa Kazi au Vyeo !
Kumbe hamna kitu miaka yote wapo pale pale tu na Umri unaenda !

Ngoja tuone yule wa Kagera aliyejisifu kupoteza watu tuone kama atapanda Cheo na Wenzake. !

Huko juu wakikutana wanagongesha glasses za Champagne 🍾 😅😳
 
Kwani ndo mnajua leo hilo mbona lipo toka zamani wakubwa wanakaa meza moja,wanakunywa kahawa nakupiga stori nyinyi sasa subirini tar 23 mkakatwe viungo..😅
Ndio tunaka kukatwa viungo kama mlivyomkata Soka na wenzake.
 
Back
Top Bottom