Uadui siasani uko huku chini kwa akina Mdude vs Lucas kule Juu Dr Nchimbi amesema " Mbowe alinipigia Simu mara 5"

Uadui siasani uko huku chini kwa akina Mdude vs Lucas kule Juu Dr Nchimbi amesema " Mbowe alinipigia Simu mara 5"

UMEANDIKA KI LAYMAN SANA. VILAZA HUWA MNADHANI SIASA NI VITA NDO MNAKUWA NA AKILI ZA KIUAJI. NCHI ZA WASTAARABU WANASIASA WANABISHANA KWA HOJA. BUT HAWAWI MAADUI. NENDA KENYA TU HAPO

Rabishwi
Wewe sio GT
 
Hili liwe funzo zuri Kwa Wanasiasa wadogo Wadogo akina Yeriko, Maranja, Mdude, Choice variable nk

Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Mbowe alimpigia Simu mara 5 Ili kumjulisha habari za mauwaji ya Shujaa Ally Mohamed Kibao lakini yeye Nchimbi hakupokea kwani alishapata taarifa na alikuwa amevurugwa kweli kweli

Dr Nchimbi amesema alimjibu Mh Mbowe Kwa meseji na wakawa wameelewana.

Huu ndio Ukomavu wa kisiasa siyo kila jambo ni Siasa uchwara na kutukanana tu.

Soma Pia: Dkt Nchimbi: CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe

Mungu wa mbinguni awabariki sana Dr Nchimbi na Freeman Mbowe

Ahsanteni sana 🌹
Hakuna kitu hapo ni ujinga tu unaoweza kuaminiwa na watu wajinga na wapumbavu.Mnaosifia huu upumbavu tuleteeni listi ya Wana CCM waliotekwa hapa tutawaelewa vzr sana.
 
Dr Nchimbi amesema kuna mgawanyiko mkubwa Chadema wengine wakidai Mbowe Ndiye alimteka Mzee Ally Mohamed Kibao na kumuuwa

Nchimbi amesema Wakati anaongea na Mbowe kuhusu huu msiba wa Ally Mohamed Kibao alimtazama Kwa makini Freeman Mbowe usoni na kujiridhisha hakufanya unyama huo

Sasa rafiki yangu mzee Mgaya ameniambia aliyefanya mauwaji yale akidhani atasingiziwa Mbowe basi amefanya Kosa la Karne

Mungu wa mbinguni mrehemu Shujaa wa Vita ya Kagera mzee Kibao
 
Nchimbi ni mwanasiasa, anachokisema mara zote lazima kinalenga kumfaidisha yeye na Chama chake.

Wazungu wanasema "the end justify the means"
 
Katibu mkuu wa CCM kumtetea mwenyekiti na katibu mkuu wa CHADEMA ni jambo la kutafakari sana. Nchimbi anaupiga mwingi.
 
Ccm ni wauwaji wakubwa wa watu wanapotea lakini wanajifanya kutoa maneno ya huzuni kwenye umma ili Yao nekane hayajaua.Samia must go.
 
Kwa sisi watalaam tumemuelewa Nchimbi kakataa Mbowe kuhusika ili Polisi wakimbana mbowe na tuhuma hizo ionekane Ccm haina mkono wake.

Hiyo chadema hawawezi kujua ila siku siyo nyingi kuna viongozi wa chadema watakamatwa kwa tuhuma hizo
Kama Mbowe alitaka kumuuwa, mbona angemalizana nae kirahisi tu,

Hizo land cruiser na mabunduki Tena mchana kweupe hakuna mwenye ujasiri wa kumteka mtu vile kama sio wenyewe,

Halafu huijui Mweni na ununio we tutusa, lile ni eneo la kimkati tangu enzi za mwalimu
 
Kwa sisi watalaam tumemuelewa Nchimbi kakataa Mbowe kuhusika ili Polisi wakimbana mbowe na tuhuma hizo ionekane Ccm haina mkono wake.

Hiyo chadema hawawezi kujua ila siku siyo nyingi kuna viongozi wa chadema watakamatwa kwa tuhuma hizo
Get to know Nchimbi first ndio useme haya, hizi ndio siasa zake, ambazo very unfortunate hazipendwi na CCM wengi, kuwa mwana diplomasia sana ni kutaka CCM ishindwe vibaya sababu imechokwa. WanaCCM wanamhitaji kiongozi ambaye atawasaidia kushinda kimfumo, bila kujali ameburuza wapinzani wake kiasi gani, mtu ambaye atawasaidia kutamba kwa mabavu, na kusema ile kauli ya “vijana jeuri ya chama” mtu ambaye atawafanya wazurure na sare zao bila kuzomewa (Jakaya vs Magufuli)

Nchimbi ni aina ya kiongozi ambaye mtashindana majukwaani hasa hasa atawavizia awaibie kura, ndio maana gap la matokeo linakuwa 64/40 etc. yale mambo ya CCM kushinda kwa 90% hawa wazee huwa hawaintertain.

kuna watu walidhani atapewa u-KM toka 2015s kwa bahati mbaya “watu wale” walikuja kugundua hawataendana na siasa zake ndio maana akatupwa ubalozini. (Of course alipewa ubalozi kuwekwa mbali na siasa za ndani) Ndiooo akapatikana yule mburundi mwingine kutoka CUF.

Kama kuna kiongozi yeyote wa upinzani atapewa kesi ni kwasababu tu kuna watu ni sikio la kufa, iła amini hivyo kuwa kuna viongozi wengi tu hawapendi hayo mambo.
 
Dr.Emmanuel Nchimbi bobezi la siasa ,akili nyingi ,busara tele,mtu mtulivu mno ,mzalendo na mtoto haswa wa taifa letu tukufu Tanzania 😍😍

#Milele serikali mbili za JMT 😍
 
Nchimbi amesema Wakati anaongea na Mbowe kuhusu huu msiba wa Ally Mohamed Kibao alimtazama Kwa makini Freeman Mbowe usoni na kujiridhisha hakufanya unyama huo
Kwahio tunaweza kuwapanga watuhumiwa ili awatazame usoni ? Naona huyu jamaa ana talent ambayo anaipoteza kwenye siasa, angesaidia sana kwenye tasnia ya uchunguzi....

Hii nchi ina mambo ya ajabu ajabu sana....
 
Macho Yana lensi ambayo hurekodi Vitu mbalimbali

Nadhani Ndio sababu Shujaa Ally Mohamed Kibao alitobolewa macho kupoteza ushahidi 🐼
 
Macho Yana lensi ambayo hurekodi Vitu mbalimbali

Nadhani Ndio sababu Shujaa Ally Mohamed Kibao alitobolewa macho kupoteza ushahidi 🐼
Aisee karne ya 21 bado tunaamini hizi futuhi ?!!!!
Optography is the process of viewing or retrieving an optogram, an image on the retina of the eye. A belief that the eye "recorded" the last image seen before death was widespread in the late 19th and early 20th centuries, and was a frequent plot device in fiction of the time, to the extent that police photographed the victims' eyes in several real-life murder investigations, in case the theory was true. The concept has been repeatedly debunked as a forensic method.
 
Haya
 
Kwahio tunaweza kuwapanga watuhumiwa ili awatazame usoni ? Naona huyu jamaa ana talent ambayo anaipoteza kwenye siasa, angesaidia sana kwenye tasnia ya uchunguzi....

Hii nchi ina mambo ya ajabu ajabu sana....
Unatumia nguvu kubwa sana....

Hebu yatafakari tena maneno aliyoyasema Dr.Nchimbi....mbona "rejesta" yake ni nyepesi tu kuielewa......

Mzee uko katika kiwanda cha kutengeneza "rocket" ya kwenda anga za mbali ?!! 🤣
 
Back
Top Bottom