johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yaani wewe mjinga unajua kubadilika kulingana na upepo unapoelekeaHili liwe funzo zuri Kwa Wanasiasa wadogo Wadogo akina Yeriko, Maranja, Mdude, Choice variable nk
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Mbowe alimpigia Simu mara 5 Ili kumjulisha habari za mauwaji ya Shujaa Ally Mohamed Kibao lakini yeye Nchimbi hakupokea kwani alishapata taarifa na alikuwa amevurugwa kweli kweli
Dr Nchimbi amesema alimjibu Mh Mbowe Kwa meseji na wakawa wameelewana
Huu ndio Ukomavu wa kisiasa siyo kila jambo ni Siasa uchwara na kutukanana tu
Mungu wa mbinguni awabariki sana Dr Nchimbi na Freeman Mbowe
Ahsanteni sana πΉ
We mwehu leo umepata wapi bando?Ukibugia na kujimiminia tuvimiminika twako kichwani unaanza mbwembwe zako hapaππ
Kaa kwa passwordKwani ndo mnajua leo hilo mbona lipo toka zamani wakubwa wanakaa meza moja,wanakunywa kahawa nakupiga stori nyinyi sasa subirini tar 23 mkakatwe viungo..π
NimekopaWe mwehu leo umepata wapi bando?
Hapo sawa maana huna hela ya kununua bandoNimekopa
Sio majani tena?Ukibugia na kujimiminia tuvimiminika twako kichwani unaanza mbwembwe zako hapaππ
petty issuesHili liwe funzo zuri Kwa Wanasiasa wadogo Wadogo akina Yeriko, Maranja, Mdude, Choice variable nk
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Mbowe alimpigia Simu mara 5 Ili kumjulisha habari za mauwaji ya Shujaa Ally Mohamed Kibao lakini yeye Nchimbi hakupokea kwani alishapata taarifa na alikuwa amevurugwa kweli kweli
Dr Nchimbi amesema alimjibu Mh Mbowe Kwa meseji na wakawa wameelewana
Huu ndio Ukomavu wa kisiasa siyo kila jambo ni Siasa uchwara na kutukanana tu
Mungu wa mbinguni awabariki sana Dr Nchimbi na Freeman Mbowe
Ahsanteni sana πΉ
Wewe kaandamane na Mbege kichwani πpetty issues
Kwahiyo umemaanisha nini hapo? Kwamba wasiwepo wanasiasa wadogo?Hili liwe funzo zuri Kwa Wanasiasa wadogo Wadogo akina Yeriko, Maranja, Mdude, Choice variable nk
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Mbowe alimpigia Simu mara 5 Ili kumjulisha habari za mauwaji ya Shujaa Ally Mohamed Kibao lakini yeye Nchimbi hakupokea kwani alishapata taarifa na alikuwa amevurugwa kweli kweli
Dr Nchimbi amesema alimjibu Mh Mbowe Kwa meseji na wakawa wameelewana
Huu ndio Ukomavu wa kisiasa siyo kila jambo ni Siasa uchwara na kutukanana tu
Mungu wa mbinguni awabariki sana Dr Nchimbi na Freeman Mbowe
Ahsanteni sana πΉ
Hapa bongo na π€ haishangazi Chadrama kiongozi wao kuwa hivyo.. Si mara ya kwanza.
Ugomvi uko huku kwa akina Choka mbaya πHili liwe funzo zuri Kwa Wanasiasa wadogo Wadogo akina Yeriko, Maranja, Mdude, Choice variable nk
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Mbowe alimpigia Simu mara 5 Ili kumjulisha habari za mauwaji ya Shujaa Ally Mohamed Kibao lakini yeye Nchimbi hakupokea kwani alishapata taarifa na alikuwa amevurugwa kweli kweli
Dr Nchimbi amesema alimjibu Mh Mbowe Kwa meseji na wakawa wameelewana
Huu ndio Ukomavu wa kisiasa siyo kila jambo ni Siasa uchwara na kutukanana tu
Mungu wa mbinguni awabariki sana Dr Nchimbi na Freeman Mbowe
Ahsanteni sana πΉ
Ndio tunaka kukatwa viungo kama mlivyomkata Soka na wenzake.Kwani ndo mnajua leo hilo mbona lipo toka zamani wakubwa wanakaa meza moja,wanakunywa kahawa nakupiga stori nyinyi sasa subirini tar 23 mkakatwe viungo..π