UAE hatimaye wapeleka chombo anga za mbali, wanamaanisha nini kwa mabeberu?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Baada ya miongo kadhaa umoja wa nchi za kiarabu ujulikanao kama UAE umerusha rocket ya kwenda kufanya uchunguzi anga za mbali.

Chombo hicho kinafahamika kwa jina la JAXA (Hope probe) kimeondoia kutokea eneo la Tanegashima huko nchini japani, angalia kwenye picha hapa chini pembeni kwa taarifa zq mwendo kwa saa.

Screenshot_20200720-005924.png

Video kamili inapatikana hapa 👇...

NYONGEZA.
Safari ya UAE kwa nafasi ilianzishwa na mwanzilishi wa UAE Sheikh Z Zared mnamo miaka ya 1970 alifanya angalau mikutano mitatu juu ya project hii ikiwa ni pamoja na kufanya mkutano wa mwingine unaokumbukwa huko Abu Dhabi mnamo Februari 1976.

Akiwa na wanaanga watatu wa kimarekani zaidi ya miaka 40 baadaye umoja wa nchi za falme za kiarabu iliona yafaa kama ingemtuma mtaalam wake wa kwanza kwenye anga za mbali Sep 11, 2019 lakini haikufanikiwa.
 
Bora aisee nao waje kutueleza sio kila siku kusikia reports za upande wa magaribi hatujui kama ni kweli au wanatudanganya yaliyopo huko baharini za mbali. Maana wengine wanasema wamarekani hawajakanyaga mwezini, ile mission ya kina Armstrong ni fake, mara wengine waseme the earth is flat huku tukijifunza is a spherical like structure bhas tupotupo tu😂😂
 
ni cha UAE lakini kimerukia Japan..means wamemlipa mjapani awafanyie kazi..
Unaonekana hujui lolote kuhusu hivi vyombo vinavyokwenda angani,pata muda wakujiridhisha sababu ya kuchagua location hua ni ipi hasa,unadhani vyombo vyote vya nchi zingine hua ni lazima viruke toka nchi husika? Nadhani hii habari kama vile imekua mwiba kwako,kunywa maji upoze machungu.
 
... wao UAE Wana pesa; mabeberu wao Wana akili ndio.maana unaona kimetengenezwa na kimerukia kwa mabeberu. Hata like roboti lililopewa uraia wa Saudia nalo lilizaliwa nchi za mbali huko.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
... wao UAE Wana pesa; mabeberu wao Wana akili ndio.maana unaona kimetengenezwa na kimerukia kwa mabeberu. Hata like roboti lililopewa uraia wa Saudia nalo lilizaliwa nchi za mbali huko.
Wewe huna ujualo,utakufa na chuki zako rohoni,vitu vingine kaa kimya acha kujiaibisha,unadhani vyombo vya angani vyote huruka toka nchi husika? unajua sababu hua nini? Kaa kimya wewe huna ujualo.
 
ni cha UAE lakini kimerukia Japan..means wamemlipa mjapani awafanyie kazi..
Project hii walianza kwa kupata uzoefu kutoka kwa wamarekani pale NASA ila kwa sababu ya uzoefu mkubwa walionao wajapan kwenye teknohama waliamua kuwekeza huko, kwa muelekeo na mazingira ya chombo kuruka nk.
 
Unaonekana hujui lolote kuhusu hivi vyombo vinavyokwenda angani,pata muda wakujiridhisha sababu ya kuchagua location hua ni ipi hasa,unadhani vyombo vyote vya nchi zingine hua ni lazima viruke toka nchi husika? Nadhani hii habari kama vile imekua mwiba kwako,kunywa maji upoze machungu.
mkuu mbona kama wewe ndio umeumizwa na mchango wa jamaa[emoji16][emoji16].

ilikuwa simple tu ueleze kwanini hili limetokea,na si kama anavyofikiri,vinginevyo haina maana kumbishia.
 
Huyo namjua vizuri sana kupitia comment zake humu,hua ana chuki ya ukabila na udini,hata comment yake imejaa chuki,hilo lipo wazi kabisa.
 
Unaonekana hujui lolote kuhusu hivi vyombo vinavyokwenda angani,pata muda wakujiridhisha sababu ya kuchagua location hua ni ipi hasa,unadhani vyombo vyote vya nchi zingine hua ni lazima viruke toka nchi husika? Nadhani hii habari kama vile imekua mwiba kwako,kunywa maji upoze machungu.

nitajie chombo gani cha USA kimerukia nchi nyingine tofauti na USA.
Nitajie chombo gani cha Urusi kimerukia nchi nyingine tofauti na Urusi.
Nitajie chombo gani cha China kimerukia nchi nyingine tofauti na China.
Nitajie chombo gani cha Japan kimerukia nchi nyingine tofauti na japani.
Nitajie chombo gani cha North Korea kimerukia nchi nyingine tofauti na North korea.
Nitajie chombo gani cha India kimerukia nchi nyingine tofauti na India.
Nitajie chombo gani cha france kimerukia nchi nyingine tofauti na france.
Nitajie chombo gani cha UK kimerukia nchi nyingine tofauti na UK.
Nitajie chombo gani cha Germany kimerukia nchi nyingine tofauti na Germany..

Ni vyema tukajadili kama watu wenye uelewa..
 
Tumia simu yako vizuri utayapata tu majibu,usilete mchezo wa darasa la 2 wa hide n seek.
 
Back
Top Bottom