Bora aisee nao waje kutueleza sio kila siku kusikia reports za upande wa magaribi hatujui kama ni kweli au wanatudanganya yaliyopo huko baharini za mbali. Maana wengine wanasema wamarekani hawajakanyaga mwezini, ile mission ya kina Armstrong ni fake, mara wengine waseme the earth is flat huku tukijifunza is a spherical like structure bhas tupotupo tu😂😂
wanasayansi waligundua nje ya dunia kuna ukanda wenye miale inayotoka kwenye jua na milipuko ya nyota Ina Joto kali sana na sumu nyingi kiumbe hai hawezi kupenya akapona. Mpaka leo wanasayansa wanaumiza kichwa namna ya kupita hapo na ili uende kwenye mwezi au sayari nyingine lazima Safari ipitie hapo.
Dunia Ina leya Inaitwa ozone inazuia makali ya miale ya jua na vile vile kuna nguvu za sumaku ya dunia zinazuia hio miale yenye sumu na joto Kali kufika duniani.