UAE hatimaye wapeleka chombo anga za mbali, wanamaanisha nini kwa mabeberu?

UAE hatimaye wapeleka chombo anga za mbali, wanamaanisha nini kwa mabeberu?

soma ujielimishe mkuu usichukue vitu juu juu.
unawaambia wenzio waende google wakasome halafu unawekewa kitu unachukua kizimakizima bila kukisoma in details...pole sana chief kwa kuwaza kila mtu ana chuki...comment yangu ya kwanza hujaielewa bado..
Naona umeamua tu kuhamisha magoli wakati mechi imeshakwisha! issue ni chombo cha anga kurukia nchi nyingine,na najua hilo umeenda google na kupata majibu,unachokifanya kwasasa ni kutafuta njia ya kutokea tu,siku nyingine punguza kuendeshwa na mihemko.
 
Yah hapa ishu ilikua nikuonesha kwamba objects zinarushwa pia katika mataifa tofauti haijalishi yanamna gani

Uhusiano uliopo wakijeshi nakiusalama wa US na ISRAEL wanaweza rusha object yeyote kwenda huko juu refer tu kwasuala la f35 ISRAEL pekee ndio walipewa haki kama US wenyewe kwa ile ndege

Kuna mambo kweli hawawez kushare ila pia kushate mambo mengi yanawezekana.....
Jamaa anahangaika kujinasua katika mtego aliyojifunga yeye mwenyewe,issue ilikua ni Object kurushwa kwenye Ardhi ya nchi nyingine,Sasa hivi analeta issue za categories za Object.😀😀😀😀
 
Bora aisee nao waje kutueleza sio kila siku kusikia reports za upande wa magaribi hatujui kama ni kweli au wanatudanganya yaliyopo huko baharini za mbali. Maana wengine wanasema wamarekani hawajakanyaga mwezini, ile mission ya kina Armstrong ni fake, mara wengine waseme the earth is flat huku tukijifunza is a spherical like structure bhas tupotupo tu😂😂
Utakuta Wahandisi ma engineering ni kutoka Marekani, Russia, Israel 😂😂😂
 
Waliotuma chombo ni Japan UAE wao wametoa pesa ,mjadala umefungwa.,
Labda utakuwa unaelewa zaidi kuhusu hii project, lakini sijui unavyoelewa maana UAE walianza na mmarekani miaka 40 huko nyuma wakiwa na lengo la kufanikisha wao kama wao.
 
Naona hapo hamjaelewana masuala ya kupeleka satelite nje kwa kutumia rocket ya mwingine hayo ya kawaida, hata rwanda, ethiopia , nigeria wamefanya hivyo. USA alikuwa akitumia vyombo vya Russia na wahindi. Ila kwa project kubwa kama za kupeleka vyombo mars USA anazifanyaga mwenyewe hata EU japo chombo chao kilipotea wakati kikiingia mars.
 
nitajie chombo gani cha USA kimerukia nchi nyingine tofauti na USA.
Nitajie chombo gani cha Urusi kimerukia nchi nyingine tofauti na Urusi.
Nitajie chombo gani cha China kimerukia nchi nyingine tofauti na China.
Nitajie chombo gani cha Japan kimerukia nchi nyingine tofauti na japani.
Nitajie chombo gani cha North Korea kimerukia nchi nyingine tofauti na North korea.
Nitajie chombo gani cha India kimerukia nchi nyingine tofauti na India.
Nitajie chombo gani cha france kimerukia nchi nyingine tofauti na france.
Nitajie chombo gani cha UK kimerukia nchi nyingine tofauti na UK.
Nitajie chombo gani cha Germany kimerukia nchi nyingine tofauti na Germany..

Ni vyema tukajadili kama watu wenye uelewa..
Mbona jibu ni rahisi tu, kwa sisi tunaokunywa gongo, sio kila muuza gongo utumia mitambo yake kupika wengine ukodi ya jirani na kupikia hukohuko ,mwishiwe usifiwa muuzaji wala sio mitambo iliyopika hiyo gongo.
 
Kinaishia wapi?
Niliwahi kuambiwa kuwa waluofika mwezini walisikia azana huko huko.na ndiyo sauti pekee iliyosikikia.
Labda wameenda ludhibitisha kama ni kweli ila wazungu walificha.
 
Chombo ni cha waarabu wenyewe ila kufanikisha US played a major role. walichotaka ni kutengeneza satelite ambayo sio copy and paste ya nchi yeyote.

NASA iliwasaidia kuwapa ujuzi wataalamu wao kwenye maswala ya satellite, waarabu wame design chombo na University Colorado walikuwa kama consultants from beginning to the end kwenye kusimamia ujenzi.

So US played a major part
 
Clap for merged the comment.
Chombo ni cha waarabu wenyewe ila kufanikisha US played a major role. walichotaka ni kutengeneza satelite ambayo sio copy and paste ya nchi yeyote.

NASA iliwasaidia kuwapa ujuzi wataalamu wao kwenye maswala ya satellite, waarabu wame design chombo na University Colorado walikuwa kama consultants from beginning to the end kwenye kusimamia ujenzi.

So US played a major part✔
 
Bora aisee nao waje kutueleza sio kila siku kusikia reports za upande wa magaribi hatujui kama ni kweli au wanatudanganya yaliyopo huko baharini za mbali. Maana wengine wanasema wamarekani hawajakanyaga mwezini, ile mission ya kina Armstrong ni fake, mara wengine waseme the earth is flat huku tukijifunza is a spherical like structure bhas tupotupo tu[emoji23][emoji23]
@Zurri anakuambia hakuna anaeweza kutoka nje ya Anga la dunia coz Mungu kaweka get, kilicho nje kisiingie dunia na kilichondani kisitoke nje.

uenda hatua hii ikabadili kidogo mtazamo wake.

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Kinaishia wapi?
Niliwahi kuambiwa kuwa waluofika mwezini walisikia azana huko huko.na ndiyo sauti pekee iliyosikikia.
Labda wameenda ludhibitisha kama ni kweli ila wazungu walificha.
wathungu walio enda wakaficha, ila wewe uliyekuwa kuwa chumbani kwako ukajua!! [emoji23] [emoji23].

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
@Zurri anakuambia hakuna anaeweza kutoka nje ya Anga la dunia coz Mungu kaweka get, kilicho nje kisiingie dunia na kilichondani kisitoke nje.

uenda hatua hii ikabadili kidogo mtazamo wake.

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
Mungu ameweka geti? 😨
Nimecheka mpaka nimepaliwa aisee..😂😂
 
Hii umeipata wapi na mbona mpya kwangu mwanaJF
@Zurrri anakuambia hakuna anaeweza kutoka nje ya Anga la dunia coz Mungu kaweka get, kilicho nje kisiingie dunia na kilichondani kisitoke nje.

uenda hatua hii ikabadili kidogo mtazamo wake.
 
ni cha UAE lakini kimerukia Japan..means wamemlipa mjapani awafanyie kazi..
Vyombo vinavyoruka anga za mbali havianzii safari popote kama zilivyo stendi za mabasi. Ndio maana soyuz au apollo walikuwa wanaanzia Kazakhstan au Florida. Hii ni kutokana na sababu za kijiografia na science ili kuwa salama. NIMEKUKUPA ELIMU YA BURE UFUTE UJINGA.
 
nitajie chombo gani cha USA kimerukia nchi nyingine tofauti na USA.
Nitajie chombo gani cha Urusi kimerukia nchi nyingine tofauti na Urusi.
Nitajie chombo gani cha China kimerukia nchi nyingine tofauti na China.
Nitajie chombo gani cha Japan kimerukia nchi nyingine tofauti na japani.
Nitajie chombo gani cha North Korea kimerukia nchi nyingine tofauti na North korea.
Nitajie chombo gani cha India kimerukia nchi nyingine tofauti na India.
Nitajie chombo gani cha france kimerukia nchi nyingine tofauti na france.
Nitajie chombo gani cha UK kimerukia nchi nyingine tofauti na UK.
Nitajie chombo gani cha Germany kimerukia nchi nyingine tofauti na Germany..

Ni vyema tukajadili kama watu wenye uelewa..
Huna unalojua.
 
Back
Top Bottom