UAE how dare you?

UAE how dare you?

Kwanza alivyoandika (hasa watutsi).
Ubaguzi wa kikatili sana ukitegemea genocide iliyotokea hapo Rwanda kwa sababu ya ukabila.
hapo wamebaguliwa au wamesifiwa?
 
Shambulia hoja na si mtoa hoja.
Mkuu take your own advice, umedai:
1. Nilifungiwa and 2. unaita mods ukidai post ni ya ubaguzi.
Mimi ndio nakudai utoe hoja badala ya kunishambulia.
 
Kwani ukisema Wanyarwanda kwa ujumla shida iko wapi? Unajaribu kusema nini kuhusu Wahutu? Si ni fikra za kipumbavu kama hizi zako ndio zilipelekea mauaji?
Si nimesema 'hasa'? Na hata ningesema otherwise, kwani kabila moja wakiwa na akili nyingi automatically inamaanisha wengine ni wajinga? Mfano nikisema kuwa wanyarwanda hasa watutsi ni warefu kutakuwa na shida? Halafu Rwanda ina kabila nyingine kama wa-twa, sio kila kitu ni ligi kati ya watutsi na wahutu!
 
Sasa huo ni ubaguzi (racism) au assertions (unverified as they are)? Hapo wanyarwanda wamebaguliwa au wamesifiwa ? karibu.

bro nikisema ubaguzi, simaanishi ubaguzi wa rangi pekee. Kuna ubaguzi wa aina nyingi sana. (hilo sina muda wa kukuelimisha kwa sasa). Lakini kwa uzi wako sentensi yako ya kwanza, Hapo umefanya intelligence discrimination. Huwezi ukajumuisha tu eti, sijui watu gani ni bora kiakili kuliko wengine wote Afrika. Huo ni ujuha na ujinga ambao Mwl. JK Nyerere alisema hufanywa na watu waliofirisika kichwani. Unataka kuoneka una akili kwa kujificha au kwa kivuli cha ethnic group fulani. Na ndiyo maana nasema lete ushahidi wa kuthibitisha hilo.
 
Kwanza alivyoandika (hasa watutsi).
Ubaguzi wa kikatili sana ukitegemea genocide iliyotokea hapo Rwanda kwa sababu ya ukabila.

Anasema wana IQ > average wakati hajui hata maana ya ubaguzi. Yeye akiona neno ubaguzi anajua ni wa rangi pekee. Hajui kuna wa kikabila, kijinsia, kiuchumi, kikanda, kimkoa orodhs ni ndefu.

jMali
 
bro nikisema ubaguzi, simaanishi ubaguzi wa rangi pekee. Kuna ubaguzi wa aina nyingi sana. (hilo sina muda wa kukuelimisha kwa sasa). Lakini kwa uzi wako sentensi yako ya kwanza, Hapo umefanya intelligence discrimination. Huwezi ukajumuisha tu eti, sijui watu gani ni bora kiakili kuliko wengine wote Afrika. Huo ni ujuha na ujinga ambao Mwl. JK Nyerere alisema hufanywa na watu waliofirisika kichwani. Unataka kuoneka una akili kwa kujificha au kwa kivuli cha ethnic group fulani. Na ndiyo maana nasema lete ushahidi wa kuthibitisha hilo.
Nimejumuisha wote kwanza kama wanyarwanda halafu nikasema 'hasa watutsi'. Kwa hiyo nimesifia wanyarwanda wote kwa ujumla.
Nilitegemea labda unidai takwimu za Wanyarwanda kuwa na akili kubwa kuzidi waafrika wengine. Ila kwa kuwa hunidai hizo inaonyesha unakubali kuwa wanyarwanda wana akili kubwa ila una wasiwasi na watutsi? au nimeelewa vibaya?
 
Anasema wana IQ > average wakati hajui hata maana ya ubaguzi. Yeye akiona neno ubaguzi anajua ni wa rangi pekee. Hajui kuna wa kikabila, kijinsia, kiuchumi, kikanda, kimkoa orodhs ni ndefu.
1. Wanawake wana akili kuzidi wanaume = ubaguzi wa kijinsia.
2. Wanawake wengi wana akili kuzidi wanaume = huu sio ubaguzi wa kijinsia, bali ni madai yasiyothibitishwa.
 
I never understand kwanini kila siku mnalazimisha kujinasibisha na uyahudi. Wengine mnasemaga waafrika ndo the real Jews. I, for one, am not a Jew hata kama the original Jews walikua weusi kuliko mimi.

Hivi warwanda hawawezi kuwa na akili bila kuhusishwa na jews? Wanyarwanda wenyewe sijawahi kusikia wakitoa claim za kizwazwa namna hii na naishi nao kila siku, nyie mnatoa nguvu wapi za kuwasemea? Hamuoni aibu kujinasibisiha na jamii zingine huku mkiziacha zenu? Lini umesikia wayahudi wakisema wao ni waarabu and vice versa? Mngeletewa dini za kichina leo mngesema nyie ni wachina. Miafrika ni hopeless kabisa, dini zimewavuruga hatari.
 
Nimejumuisha wote kwanza kama wanyarwanda halafu nikasema 'hasa watutsi'. Kwa hiyo nimesifia wanyarwanda wote kwa ujumla.
Nilitegemea labda unidai takwimu za Wanyarwanda kuwa na akili kubwa kuzidi waafrika wengine. Ila kwa kuwa hunidai hizo inaonyesha unakubali kuwa wanyarwanda wana akili kubwa ila una wasiwasi na watutsi? au nimeelewa vibaya?

Umenifanya nicheke kwa sauti.
Basi haina shida endelea kuwa na imani hiyo ya watusi kuwa na akili nyingi. Lkn kumbuka ya kuwa uarabuni hawakubaliki.
 
Si nimesema 'hasa'? Na hata ningesema otherwise, kwani kabila moja wakiwa na akili nyingi automatically inamaanisha wengine ni wajinga? Mfano nikisema kuwa wanyarwanda hasa watutsi ni warefu kutakuwa na shida? Halafu Rwanda ina kabila nyingine kama wa-twa, sio kila kitu ni ligi kati ya watutsi na wahutu!
Boss! Ukabila ni ukabila tu. Sadly umetumia mfano wako kwenye nchi ambayo bado inauguza majeraha ya ukabila.
 
Hao mazwazwa wanaongozwa na Kagame Toka 2000 hii ni nchi inayosymbolize dictatorship Government wanyimwe hiyo viza hawastahili
 
Hivi hawa waarabu hawajui kuwa wanyarwanda (hasa watutsi) ni watu wenye akili kubwa kuliko wote huku Africa? Hawajui wanyarwanda ni wayahudi weusi waliopotea njia kutokea Israeli? Sasa inakuwaje wanabania VISA wanyarwanda halafu manchi ya ajabu ajabu kama Tanzania yanapeta? Yaani Super Power Rwanda ni ya kufananishwa na Burundi na Togo?

Hawajui Rwanda chini ya genius Paul Kagame ni namba moja kwa teknolojia Africa nzima? Hawajui huku Rwanda hakuna mgao wa umeme wala maji? Intaneti ni bure, barabara zetu zote lami! Hawajui Rwanda usalama ni kama huko Dubai tu watu wanalala milango wazi? Hawajui kuwa Rwanda ina viwanda vya magari na smartphone na hivyo ajira huku zipo nje nje? Hawajui kuwa Rwanda inakaribia kurusha satellite yake yenyewe?

Yaani kweli wanadai kuwa watutsi wanakwenda UAE kudangadanga mpaka wanaoverstay na kugeuka wahamiaji haramu? Yaani wanamaanisha kuwa Rwanda ni nchi ya njaa kama Sudan? Haya maendeleo yote hawayaoni au wanawaoneawivu?

Nisaidieni jamani maswali ni mengi.
Usitudanganye wewe,kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
Rwanda haina hizo sifa unazosemea.
HAPA AFRIKA KIZAZI CHENYE VIPAWA KTK SAYANSI NA TEKNOLOJIA NI EGYPT nchi zingine zinafuata.
Rwanda hiyo unayosemea ilikaa lock down wiki moja wananchi wakaanza kufa njaa.
Rwanda hiyo haina hospitali kubwa,Rwanda hiyo haina vyuo vikubwa vinavyoshawishi wageni kuja kusoma.
Ila Tanzania unayosemea ww Ina hospitali kubwa ya moyo JKCI ambayo ni ya pili kwa ukubwa Afrika kihuduma na kimatibabu,Tanzania hiyo ina madaktari bingwa wanaoweza kufanya kazi popote,Tanzania hiyo ina reli kubwa Afrika mashariki , Tanzania hiyo ina kitengo kikubwa Cha mifupa Afrika mashariki na Kati MOI.
RWANDA MNA KIPI CHA KUIZIDI TANZANIA??
Mchukue clinical officer wa Tz yuko active kuliko Medical doctor wa Rwanda.
HAO WATUTSI WANA AKILI GANI???
 
Fuatilia hisoria
Hivi hawa waarabu hawajui kuwa wanyarwanda (hasa watutsi) ni watu wenye akili kubwa kuliko wote huku Africa? Hawajui wanyarwanda ni wayahudi weusi waliopotea njia kutokea Israeli? Sasa inakuwaje wanabania VISA wanyarwanda halafu manchi ya ajabu ajabu kama Tanzania yanapeta? Yaani Super Power Rwanda ni ya kufananishwa na Burundi na Togo?

Hawajui Rwanda chini ya genius Paul Kagame ni namba moja kwa teknolojia Africa nzima? Hawajui huku Rwanda hakuna mgao wa umeme wala maji? Intaneti ni bure, barabara zetu zote lami! Hawajui Rwanda usalama ni kama huko Dubai tu watu wanalala milango wazi? Hawajui kuwa Rwanda ina viwanda vya magari na smartphone na hivyo ajira huku zipo nje nje? Hawajui kuwa Rwanda inakaribia kurusha satellite yake yenyewe?

Yaani kweli wanadai kuwa watutsi wanakwenda UAE kudangadanga mpaka wanaoverstay na kugeuka wahamiaji haramu? Yaani wanamaanisha kuwa Rwanda ni nchi ya njaa kama Sudan? Haya maendeleo yote hawayaoni au wanawaoneawivu?

Nisaidieni jamani maswali ni mengi.
Fuatilia historia Egypt imevumbua vitu vingi km calendar na baadhi ya mambo ktk muktadha wa hisabati na matibabu,Swali,RWANDA imevumbua nini??
Afadhali hata Ethiopia Ina watu wenye vipawa katika masuala ya uhandisi na architecture, Rwanda mna vipawa gani???
Tanzania tu tuna vipawa ktk nyanja ya tiba,uhandisi wa reli na diplomasia,nitajie vipawa vya Rwanda???
 
Hivi hawa waarabu hawajui kuwa wanyarwanda (hasa watutsi) ni watu wenye akili kubwa kuliko wote huku Africa? Hawajui wanyarwanda ni wayahudi weusi waliopotea njia kutokea Israeli? Sasa inakuwaje wanabania VISA wanyarwanda halafu manchi ya ajabu ajabu kama Tanzania yanapeta? Yaani Super Power Rwanda ni ya kufananishwa na Burundi na Togo?

Hawajui Rwanda chini ya genius Paul Kagame ni namba moja kwa teknolojia Africa nzima? Hawajui huku Rwanda hakuna mgao wa umeme wala maji? Intaneti ni bure, barabara zetu zote lami! Hawajui Rwanda usalama ni kama huko Dubai tu watu wanalala milango wazi? Hawajui kuwa Rwanda ina viwanda vya magari na smartphone na hivyo ajira huku zipo nje nje? Hawajui kuwa Rwanda inakaribia kurusha satellite yake yenyewe?

Yaani kweli wanadai kuwa watutsi wanakwenda UAE kudangadanga mpaka wanaoverstay na kugeuka wahamiaji haramu? Yaani wanamaanisha kuwa Rwanda ni nchi ya njaa kama Sudan? Haya maendeleo yote hawayaoni au wanawaoneawivu?

Nisaidieni jamani maswali ni mengi.
karne hii mtu bado anaamini katika ukabila,, tena anaamini ni muisrael😀😀😂Upumbafu huu genocide nchi hautakaa mbali!!.. its abt when!
 
Hivi hawa waarabu hawajui kuwa wanyarwanda (hasa watutsi) ni watu wenye akili kubwa kuliko wote huku Africa? Hawajui wanyarwanda ni wayahudi weusi waliopotea njia kutokea Israeli? Sasa inakuwaje wanabania VISA wanyarwanda halafu manchi ya ajabu ajabu kama Tanzania yanapeta? Yaani Super Power Rwanda ni ya kufananishwa na Burundi na Togo?

Hawajui Rwanda chini ya genius Paul Kagame ni namba moja kwa teknolojia Africa nzima? Hawajui huku Rwanda hakuna mgao wa umeme wala maji? Intaneti ni bure, barabara zetu zote lami! Hawajui Rwanda usalama ni kama huko Dubai tu watu wanalala milango wazi? Hawajui kuwa Rwanda ina viwanda vya magari na smartphone na hivyo ajira huku zipo nje nje? Hawajui kuwa Rwanda inakaribia kurusha satellite yake yenyewe?

Yaani kweli wanadai kuwa watutsi wanakwenda UAE kudangadanga mpaka wanaoverstay na kugeuka wahamiaji haramu? Yaani wanamaanisha kuwa Rwanda ni nchi ya njaa kama Sudan? Haya maendeleo yote hawayaoni au wanawaoneawivu?

Nisaidieni jamani maswali ni mengi.

Na hii janga la njaa ambalo serikali inaficha vip

View: https://twitter.com/damkup/status/1704889233008181456/mediaviewer
 
Back
Top Bottom