UAE SWAT challenge, mbona Majeshi yetu hayashiriki?

UAE SWAT challenge, mbona Majeshi yetu hayashiriki?

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Haya ninmashindano ya umahiri katika uokoaji, yanahusika MAJESHI mbalimbali na tactical units. .wenzetu Kenya kwa mwaka huu wamepeleka vikosi vitatu, nchi zingine zilizopeleka MAJESHI Yao ni Rwanda, South Africa .nk.

Nashauri MAJESHI YETU yawe yanashiriki pia Ili kujipima uwezo wao wakilinganishwa na wengine wenye uwezo Zaidi.

Nimeambatanisha link ya hayo mashindano it's so interesting

IMG_20230222_120418.jpg
IMG_20230222_120435.jpg
 
CCM SWAT ,UVCMM SWAT,CHAWA SWAT,MGUFULI SWAT.
Makundi hatari mossad inasubiri na USA SWAT.
Ukikutana nao hapa JF CCM SWAT mtu anamiliki ID 6 kujibu hoja za kipuuzi kisa ccm
 
Hapa bila kumuita waziri ya Mambo ya ndani atujibu Kama moleli alivyo jibu Jana kwa RMOs akisema CHF ilioboreshwa sio bima bima Ni NHIF
 
CCM SWAT ,UVCMM SWAT,CHAWA SWAT,MGUFULI SWAT.
Makundi hatari mossad inasubiri na USA SWAT.
Ukikutana nao hapa JF CCM SWAT mtu anamiliki ID 6 kujibu hoja za kipuuzi kisa ccm
Hivi Magufuli alikuacha na mimba au ni nini yani hata sehemu asiyohusika lazima umtaje?
Acha undezi
 
Back
Top Bottom