Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
izo ni GDP za mwaka gani...Nimejaribu kuangalia sababu za wao kutokuweka nchi za Afrika ukiacha Shelisheli na Mauritius , sijaona. Nikadhani labda wametumia kigezo cha GDP per capita (nominal) ambapo Shelisheli ($19,536) na Mauritius ($8,892). Tatizo linakuja Honduras ($2,524) ipo wakati Afrika Kusini ($6,500), Equatorial Guinea ($8,927) na Gabon ($10,282) hazipo.