UAE visa-free travel: Over 80 nationalities can enter with a visa on arrival

UAE visa-free travel: Over 80 nationalities can enter with a visa on arrival

Until Africans learn to be independent and self-sufficient Africa will never be respected.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Sote tunajua wazungu ni wabaguzi hilo waafrika wengi wala hatulipingi ila shida inakuja kwenu ninyi waislam weusi, tunapowaambia kuwa na waarabu ni wabaguzi huwa mnashupaza shingo sasa ndio mjue kuwa wote wazungu na waarabu ni wabaguzi, tena afadhali hata ya wazungu ni wabaguzi wa rangi tu ila waarabu ni wabaguzi wa rangi na dini
Huna akili,umeandika kisha ukajipinga humo humo wewe mwenyewe.
 
Ungekuwa na akili ungeonesha nilipojipinga badala ya kukimbia hoja, ninyi endeleeni tu kuukimbia ukweli sijui mtaukimbia mpaka lini, wewe mwenyewe uko kwa wazungu na hauko huko kwa waarabu unaowapenda na kudhani siyo wabaguzi
Unawashwa?
 
Hawa UAE ni ndugu zetu wa damu kabisa, tumeoleana pia ni wajomba zetu hawa.
UAE wametoa orodha ya nchi ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini mwao bila ya visa.
Nchi walizoziruhusu zote ni hizo hapo.

These are countries/states whose citizens can enter the UAE visa-free, as per the latest MOFA list:​

  • Australia
  • Swiss Confederation
  • Czech Republic
  • Slovak Republic
  • French Republic
  • Hellenic Republic (Republic of Greece)
  • Hungary
  • Kingdom of Saudi Arabia
  • United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland
  • United States of America
  • United Mexican States
  • Japan
  • Principality of Andorra
  • Principality of Liechtenstein
  • Principality of Monaco
  • Ukraine
  • Barbados
  • Brunei Darussalam
  • Solomon Islands
  • Republic of Azerbaijan
  • Republic of Estonia
  • Argentine Republic
  • Eastern Republic of Uruguay
  • Republic of Albania
  • Federative Republic of Brazil
  • Portuguese Republic
  • Republic of El Salvador
  • People’s Republic of China
  • Republic of Maldives
  • Federal Republic of Germany
  • Republic of Austria
  • Republic of Ireland
  • Republic of Iceland
  • Republic of Italy
  • Republic of Paraguay
  • Republic of Bulgaria
  • Republic of Poland
  • Republic of Peru
  • Republic of Belarus
  • Republic of Chile
  • Republic of San Marino
  • Republic of Slovenia
  • Republic of Singapore
  • Republic of Seychelles
  • Republic of Serbia
  • Republic of Finland
  • Republic of Cyprus
  • Republic of Kazakhstan
  • Republic of Croatia
  • Republic of Korea
  • Republic of Costa Rica
  • Republic of Colombia
  • Republic of Kiribati
  • Republic of Latvia
  • Republic of Lithuania
  • Republic of Malta
  • Republic of Mauritius
  • Republic of Nauru
  • Republic of Honduras
  • Georgia
  • Grand Duchy of Luxembourg
  • State of Israel
  • State of Kuwait
  • State of Qatar
  • Vatican City State
  • Russian Federation
  • Romania
  • Saint Vincent and the Grenadines
  • Sultanate of Oman
  • Commonwealth of the Bahamas
  • Canada
  • Malaysia
  • Kingdom of Spain
  • Kingdom of Bahrain
  • Kingdom of Denmark
  • Kingdom of Sweden
  • Kingdom of Norway
  • Kingdom of Belgium
  • Kingdom of the Netherlands
  • Montenegro
  • New Zealand
Arabian Business
Kataaa UMASKINI
 
Halafu wanalazimisha kuwa Tanzania ni neighbouring country na UAE wakati Visa tu hatumo kabisa.
Tatizo wabongo tunaharibu wenyewe, pasi zetu wanazo mpaka wapopo na hawajui hata neno moja la Kiswahili. Mpaka mwaka 1995 tulikuwa tunaenda UK bila viza. Tujanazana kule weee mpaka wakaweka limit na kutaka tuingie kwao kwa viza. Sasa inakula kwetu, tunalalamika.
 
Tatizo wabongo tunaharibu wenyewe, pasi zetu wanazo mpaka wapopo na hawajui hata neno moja la Kiswahili. Mpaka mwaka 1995 tulikuwa tunaenda UK bila viza. Tujanazana kule weee mpaka wakaweka limit na kutaka tuingie kwao kwa viza. Sasa inakula kwetu, tunalalamika.
Halafu hizo passport zetu wahindi , waarabu na wageni wengine wanazo kwa wingi huku wanongo wenyewe wakizikosa kabisa au wakizipata kwa taabu sana.
 
Hadi sisi wa mchamba wima hatupo?watakuwa wamesahau tu kutuorodhesha
 
brazaj mbona hampo hapa licha ya kushobokea hawa watu miaka yote.
 
Back
Top Bottom