Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
izo ni GDP za mwaka gani...Nimejaribu kuangalia sababu za wao kutokuweka nchi za Afrika ukiacha Shelisheli na Mauritius , sijaona. Nikadhani labda wametumia kigezo cha GDP per capita (nominal) ambapo Shelisheli ($19,536) na Mauritius ($8,892). Tatizo linakuja Honduras ($2,524) ipo wakati Afrika Kusini ($6,500), Equatorial Guinea ($8,927) na Gabon ($10,282) hazipo.
Na Bandari mmewauzia.*****Hawa UAE ni ndugu zetu wa damu kabisa, tumeoleana pia ni wajomba zetu hawa.
UAE wametoa orodha ya nchi ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini mwao bila ya visa.
Nchi walizoziruhusu zote ni hizo hapo.
These are countries/states whose citizens can enter the UAE visa-free, as per the latest MOFA list:
Arabian Business
- Australia
- Swiss Confederation
- Czech Republic
- Slovak Republic
- French Republic
- Hellenic Republic (Republic of Greece)
- Hungary
- Kingdom of Saudi Arabia
- United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland
- United States of America
- United Mexican States
- Japan
- Principality of Andorra
- Principality of Liechtenstein
- Principality of Monaco
- Ukraine
- Barbados
- Brunei Darussalam
- Solomon Islands
- Republic of Azerbaijan
- Republic of Estonia
- Argentine Republic
- Eastern Republic of Uruguay
- Republic of Albania
- Federative Republic of Brazil
- Portuguese Republic
- Republic of El Salvador
- People’s Republic of China
- Republic of Maldives
- Federal Republic of Germany
- Republic of Austria
- Republic of Ireland
- Republic of Iceland
- Republic of Italy
- Republic of Paraguay
- Republic of Bulgaria
- Republic of Poland
- Republic of Peru
- Republic of Belarus
- Republic of Chile
- Republic of San Marino
- Republic of Slovenia
- Republic of Singapore
- Republic of Seychelles
- Republic of Serbia
- Republic of Finland
- Republic of Cyprus
- Republic of Kazakhstan
- Republic of Croatia
- Republic of Korea
- Republic of Costa Rica
- Republic of Colombia
- Republic of Kiribati
- Republic of Latvia
- Republic of Lithuania
- Republic of Malta
- Republic of Mauritius
- Republic of Nauru
- Republic of Honduras
- Georgia
- Grand Duchy of Luxembourg
- State of Israel
- State of Kuwait
- State of Qatar
- Vatican City State
- Russian Federation
- Romania
- Saint Vincent and the Grenadines
- Sultanate of Oman
- Commonwealth of the Bahamas
- Canada
- Malaysia
- Kingdom of Spain
- Kingdom of Bahrain
- Kingdom of Denmark
- Kingdom of Sweden
- Kingdom of Norway
- Kingdom of Belgium
- Kingdom of the Netherlands
- Montenegro
- New Zealand
Waafrika hatuchelewi kuzamia hukoSijaona nchi ya Africa hata moja au macho yangu.
Yupo kugoogle uko soon atakuja na mistari ya kitabu cha dini+ makasirikoKile kibibi hamtakiona kwenye huu uzi
Wajomba zao wamezingua. Undugu wa kujikomba na kujilazimisha tabu sanaMwarabuuuuuuu...
Ni Nominal GDP per capita (2022).izo ni GDP za mwaka gani...
Ww unauhakika gani kama bandari bure, hakuna kitu hicho, usiasa mbaya sana, anyway tutafika tuHizo nchi 80 wamegawa bandari bure kwa hao Waarabu?
USA anawapenda? hua mnaenda kwake kwa free visa?Sio lazima MTU kama hakupendi, Atakwambia jaribu kutazama matendo yake.
Waafrika huwa tunalazimisha undugu na warabu.. HWATUTAKI haijalishi mmewapa bandari
This is too cheap for u mkuu,una heshima yako kubwa sana hapa JF.Hizo nchi 80 wamegawa bandari bure kwa hao Waarabu?
Nchi zote za Gulf wanatembeleana bila visa,UAE,Saudi Arabia,Oman,Kuwait,Bahrain,Qatar.Ila Saud Arabia, Qatar, Kuwait wale hawaingii na Visa
Kwani Dubai huwa mnafuata nini? Bora ingekuwa ChinaHawa UAE ni ndugu zetu wa damu kabisa, tumeoleana pia ni wajomba zetu hawa.
UAE wametoa orodha ya nchi ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini mwao bila ya visa.
Nchi walizoziruhusu zote ni hizo hapo.
These are countries/states whose citizens can enter the UAE visa-free, as per the latest MOFA list:
Arabian Business
- Australia
- Swiss Confederation
- Czech Republic
- Slovak Republic
- French Republic
- Hellenic Republic (Republic of Greece)
- Hungary
- Kingdom of Saudi Arabia
- United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland
- United States of America
- United Mexican States
- Japan
- Principality of Andorra
- Principality of Liechtenstein
- Principality of Monaco
- Ukraine
- Barbados
- Brunei Darussalam
- Solomon Islands
- Republic of Azerbaijan
- Republic of Estonia
- Argentine Republic
- Eastern Republic of Uruguay
- Republic of Albania
- Federative Republic of Brazil
- Portuguese Republic
- Republic of El Salvador
- People’s Republic of China
- Republic of Maldives
- Federal Republic of Germany
- Republic of Austria
- Republic of Ireland
- Republic of Iceland
- Republic of Italy
- Republic of Paraguay
- Republic of Bulgaria
- Republic of Poland
- Republic of Peru
- Republic of Belarus
- Republic of Chile
- Republic of San Marino
- Republic of Slovenia
- Republic of Singapore
- Republic of Seychelles
- Republic of Serbia
- Republic of Finland
- Republic of Cyprus
- Republic of Kazakhstan
- Republic of Croatia
- Republic of Korea
- Republic of Costa Rica
- Republic of Colombia
- Republic of Kiribati
- Republic of Latvia
- Republic of Lithuania
- Republic of Malta
- Republic of Mauritius
- Republic of Nauru
- Republic of Honduras
- Georgia
- Grand Duchy of Luxembourg
- State of Israel
- State of Kuwait
- State of Qatar
- Vatican City State
- Russian Federation
- Romania
- Saint Vincent and the Grenadines
- Sultanate of Oman
- Commonwealth of the Bahamas
- Canada
- Malaysia
- Kingdom of Spain
- Kingdom of Bahrain
- Kingdom of Denmark
- Kingdom of Sweden
- Kingdom of Norway
- Kingdom of Belgium
- Kingdom of the Netherlands
- Montenegro
- New Zealand
Sote tunajua wazungu ni wabaguzi hilo waafrika wengi wala hatulipingi ila shida inakuja kwenu ninyi waislam weusi, tunapowaambia kuwa na waarabu ni wabaguzi huwa mnashupaza shingo sasa ndio mjue kuwa wote wazungu na waarabu ni wabaguzi, tena afadhali hata ya wazungu ni wabaguzi wa rangi tu ila waarabu ni wabaguzi wa rangi na diniUSA anawapenda? hua mnaenda kwake kwa free visa?