mr iko press
Member
- Jan 3, 2015
- 56
- 3
upolisi dili ualimu dirisha kaka!..posho ya msosi ya askari ni sawa na mshahara wa mwalimu mwenye diploma!
Acha ukuda wewe mbona unataka kuwadhalilisha walimu? Yaani posho ya msoc ya polic ndo ilingane na mshahara wa mwalimu wa dip? Kijana kuwa makini na kauli zako ambazo hazina ukweli.

Mm nakushauri ujaze tu ili badae uwe na options zingine matokeo yakitokaHabari zenu wakuu!! mimi nategemea kufanya mtihani wa kidato cha 6 mwaka huu, nimesoma mchepuo wa sanaa {arts} na malengo yangu nikuwa mwalim lakin leo tumetangaziwa na mkuu wa shule kuwa kuna form za upolisi zimetoka kama kuna mtu anayetaka ajaze, nikifikiria ajira za ualimu kwa upande wa arts tumeambiwa baadae ztakuwa tatizo sasa nipo njia panda niende upolsi au nisubirie matokeo niende chuo kikuu? ushauri wenu jamani!!!
upolisi dili ualimu dirisha kaka!..posho ya msosi ya askari ni sawa na mshahara wa mwalimu mwenye diploma!
Acha ukuda wewe mbona unataka kuwadhalilisha walimu? Yaani posho ya msoc ya polic ndo ilingane na mshahara wa mwalimu wa dip? Kijana kuwa makini na kauli zako ambazo hazina ukweli.
upolisi dili ualimu dirisha kaka!..posho ya msosi ya askari ni sawa na mshahara wa mwalimu mwenye diploma!
Jitahidi ukifanya vizuri form six usome degree ya law enforcement... Halafu ndo uende police ila usiwe unategemea mkopo.