Ualimu na Upolisi kipi bora?

Ualimu na Upolisi kipi bora?

Habari zenu wakuu!! mimi nategemea kufanya mtihani wa kidato cha 6 mwaka huu, nimesoma mchepuo wa sanaa {arts} na malengo yangu nikuwa mwalim lakin leo tumetangaziwa na mkuu wa shule kuwa kuna form za upolisi zimetoka kama kuna mtu anayetaka ajaze, nikifikiria ajira za ualimu kwa upande wa arts tumeambiwa baadae ztakuwa tatizo sasa nipo njia panda niende upolsi au nisubirie matokeo niende chuo kikuu? ushauri wenu jamani!!!
Ingekuwa unasoma Sayansi, mara moja ningekushauri uende ualimu lakini huku kwenye arts nako, ualimu ni changamoto kweli kweli kwa miaka ijayo! Na hata ile kauli ya JK kwamba sooner or later, walimu wenye shahada wataenda kufundisha primary school, kwa kuanzia hii itawaathiri sana walimu wa arts coz' wa Sayansi hata huko sekondari bado hawatoshi so, there's no way walimu wa sayansi wataenda kufundisha primary kwa miaka ya karibuni lakini kwa walimu wa arts, na jinsi ambavyo bado wamerundikana huko mavyuoni, ni very possible kwao kupelekwa primary school miaka michache tu ijayo! Hata kama mishahara inaweza kuwa sawa lakini adabu inakuwa hamna kabisa and it's very boring kwa overqualified person kufanya kazi iliyo chini mno na elimu yake!

But all in all, check out what you're looking for! If you're looking for career development and further advancement in terms of education, then Teaching will be BEST for you manake huko kwenye upolis unaweza kujikuta unazeeka kama sio kufa na Form VI yako!

NOTE: Vyovyote iwavyo, jaza hizo form za Upolisi coz' you don't know about tomorrow! Ukitaka kuruka, lazima uagane na nyonga. Sina shaka hata kidogo hujaagana na NECTA, anything can happen! Si kwamba Polisi inachukua waliofanya vibaya, lakini arts yenyewe hata mkopo kupata changamoto! Inawezekana home kupo vizuri lakini pia you don't about tomorrow either! Ukijaza form za upolisi hakuna utakachopteza hata kama baadae utaacha kwenda kuliko kuacha kujaza halafu baadae inakuta optional ambayo ilibaki ni hiyo ambayo uliiacha kwa kutojaza form bila gharama yoyote.
 
Jaza form uende polisi kwani mshahara wa mtu wa diploma ya ualimu ni mdogo ukilinganisha na Police constable mwenye form four yake ya division four point 28

acha uwongo wew nina mdogo wangu polisi najua anachokipata wale wanaishi kwa rushwa tena ndogo ambazo zinarisk kubwa ila kumbuka polisi ukienda na elimu ndogo ni utumwa wananyanyasana sana
 
Hakuna ulinganifu kati ya ualimu na police kumbuka police ni unit force, ni jeshi kamil ualimu hakuna kozi za kijeshi,police wana lala nje siku nzima je walimu wako hivo? Tafute kazi nyingine kazi za majeshi uanzia moyoni na si bra bra
 
Back
Top Bottom