Ingekuwa unasoma Sayansi, mara moja ningekushauri uende ualimu lakini huku kwenye arts nako, ualimu ni changamoto kweli kweli kwa miaka ijayo! Na hata ile kauli ya JK kwamba sooner or later, walimu wenye shahada wataenda kufundisha primary school, kwa kuanzia hii itawaathiri sana walimu wa arts coz' wa Sayansi hata huko sekondari bado hawatoshi so, there's no way walimu wa sayansi wataenda kufundisha primary kwa miaka ya karibuni lakini kwa walimu wa arts, na jinsi ambavyo bado wamerundikana huko mavyuoni, ni very possible kwao kupelekwa primary school miaka michache tu ijayo! Hata kama mishahara inaweza kuwa sawa lakini adabu inakuwa hamna kabisa and it's very boring kwa overqualified person kufanya kazi iliyo chini mno na elimu yake!Habari zenu wakuu!! mimi nategemea kufanya mtihani wa kidato cha 6 mwaka huu, nimesoma mchepuo wa sanaa {arts} na malengo yangu nikuwa mwalim lakin leo tumetangaziwa na mkuu wa shule kuwa kuna form za upolisi zimetoka kama kuna mtu anayetaka ajaze, nikifikiria ajira za ualimu kwa upande wa arts tumeambiwa baadae ztakuwa tatizo sasa nipo njia panda niende upolsi au nisubirie matokeo niende chuo kikuu? ushauri wenu jamani!!!
But all in all, check out what you're looking for! If you're looking for career development and further advancement in terms of education, then Teaching will be BEST for you manake huko kwenye upolis unaweza kujikuta unazeeka kama sio kufa na Form VI yako!
NOTE: Vyovyote iwavyo, jaza hizo form za Upolisi coz' you don't know about tomorrow! Ukitaka kuruka, lazima uagane na nyonga. Sina shaka hata kidogo hujaagana na NECTA, anything can happen! Si kwamba Polisi inachukua waliofanya vibaya, lakini arts yenyewe hata mkopo kupata changamoto! Inawezekana home kupo vizuri lakini pia you don't about tomorrow either! Ukijaza form za upolisi hakuna utakachopteza hata kama baadae utaacha kwenda kuliko kuacha kujaza halafu baadae inakuta optional ambayo ilibaki ni hiyo ambayo uliiacha kwa kutojaza form bila gharama yoyote.