mr iko press
Member
- Jan 3, 2015
- 56
- 3
Habari zenu wakuu!! mimi nategemea kufanya mtihani wa kidato cha 6 mwaka huu, nimesoma mchepuo wa sanaa {arts} na malengo yangu nikuwa mwalim lakin leo tumetangaziwa na mkuu wa shule kuwa kuna form za upolisi zimetoka kama kuna mtu anayetaka ajaze, nikifikiria ajira za ualimu kwa upande wa arts tumeambiwa baadae ztakuwa tatizo sasa nipo njia panda niende upolsi au nisubirie matokeo niende chuo kikuu? ushauri wenu jamani!!!