Ualimu ndo kada ambayo wakikosa mshahara kwa miezi 2 tu watumishi wake watakuwa ombaomba

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Watumishi wa hii kada ni kama wana laana vile hasa hapa Tanzania, watumishi wake karibia 95% wanategemea mshahara tu kwa 100% ajira hazijawasaidia kabsa kuanzisha miradi ya pemben yenye tija.

Tatizo bado sijajua ni nini haswa lakn hii kada ndo inaongoza kwa vilaza, yan watu ambao hawajui lolote nje ya kada yao ndo wapo uku, elimu yao haikuwasaidia kuyacontroll mazingira yao hata chembe.

Huku ndo unakuta mtumishi hawez hata kuchezesha kipanya cha kompyuta na hii ni 70%, mnakumbuka waliomba semina ya kufundishwa kutumia vishikwambi!!!!

Hawa watu wapo kianalojia zaid kuliko kada zote, washamba wote wapo huko, wajinga na wapumbavu ndo maskan yao huko.

Hawa watu wananjaa kali na roho mbaya, ndo kada pekee inayogombania ajira za muda na jobless!!! Wengine had wanagongwa ili wapate kazi ya muda

Njia yako kuu ya kujiingizia kipato nje ya Mshahara ni kukopa na kukopa na kukopa tu

Ndo kada watu wake wana maswali ya kupumbavu kuliko hata bodaboda na mama ntilie.

Katika mama ntilie 10 unakuta 7 wanaakili timamu na uwezo wa kujenga hoja thabit lakn katika walimu 10 unakuta 2-3 ndo wenye uwezo huo.

Hawa watu yakitokea yaliyowakuta madaktar kule Kenya, tutawakuta pale mwanjelwa, kabwe, posta, kariakoo, kimara mwisho, msasani na masak wakiomba omba

Hii kada imelaaniwa.
 
Haya ni Matusi kwa Walimu wetu sijui ni chuki au kipi kipo nyuma yakk mkuu, Viongozi wengi unaowaona katika nchi hii wemgi chimbuko ni Walimu sasa sijui umetumia utafiti upi kuandika hii Pumba

Kingine mishahara ya GVT tofauti yake ni ndogo sana wachache sana watumishi wa UMMA wanafaidi 80% wote njaa kali kali mkuu wangu
 
Soma mada elewa changia logically acha kukurupuka
 
Ila ndio walikufundisha hadi ukajua kusoma na kuandika.

Na ndio walikusaidia ujue kuwa wao wanalipwa kidogo kwa hiyo hiyo elimu waliyokupa.
 
Inauma sana, kuna ambao wamejiongeza wanapiga boda jion, wengine wana tuition centers, wengine wana magenge ,vibanda viosk n.k !

Ualimu ni laana kwa tz !
 
Ndio taaluma isiyokutana na rushwa, wale wanaishi kwa mishahara yao tu, wanapata semina na kusimamia mitihani ambapo hupata posho kidogo. Kama si mikopo wanayokopa kwenye sakosi zao na mabenki inakopitia mishahara yao hali ingekuwa mbaya sana kwa hii kada
 
Mshahara haukutani na mshahara mwingine, tumaini pekee ni mafao ya kustaafu na pensheni ya uzeeni, by the way hakuna utajiri hapo, yaani ni sawa na kusaini umasikini wewe na kizazi chako, ndio maana iliitwa ni kazi ya wito, kujitolea!
 
Moja wasio na ajira nchi hii ndio wamepigika balaa (Case in Point ikitokea ajira imetangazwa ya watu kumi ya huo Ualimu - watu elfu kumi wanajitokeza)

Mbili ni kada gani ambayo inajitosheleza (zaidi ya wanasiasa wanaokula jasho la wabangaizaji) ?

Unless upo out of touch hii nchi ni balaa yaani let alone kula hand to mouth ni kwamba watu wanakopa mwezi ujao kulipa madeni ya mwezi juzi..... Hali ni Ngumu and the future is scary (angalau waalimu watakuwa pensionable; na hapo kama wanafanya kazi government sababu kama ni private anytime hio shule inaweza ikafirisika na kugundua mwajiri alikuwa hapeleki mafao); Ni kwamba awamu hizi za sasa zinatengeneza kesho ngumu sana kwa watu

Wape na ushauri wafanyaje sasa maana umewapopoa tu mkuu.
 
Watumishi wa hii kada ni kama wana laana vile hasa hapa Tanzania, watumishi wake karibia 95% wanategemea mshahara tu kwa 100% ajira hazijawasaidia kabsa kuanzisha miradi ya pemben yenye tija.

Tatizo bado sijajua ni nini haswa lakn hii kada ndo inaongoza kwa vilaza, yan watu ambao hawajui lolote nje ya kada yao ndo wapo uku, elimu yao haikuwasaidia kuyacontroll mazingira yao hata chembe.

Huku ndo unakuta mtumishi hawez hata kuchezesha kipanya cha kompyuta na hii ni 70%, mnakumbuka waliomba semina ya kufundishwa kutumia vishikwambi!!!!

Hawa watu wapo kianalojia zaid kuliko kada zote, washamba wote wapo huko, wajinga na wapumbavu ndo maskan yao huko.

Hawa watu wananjaa kali na roho mbaya, ndo kada pekee inayogombania ajira za muda na jobless!!! Wengine had wanagongwa ili wapate kazi ya muda

Njia yako kuu ya kujiingizia kipato nje ya Mshahara ni kukopa na kukopa na kukopa tu

Ndo kada watu wake wana maswali ya kupumbavu kuliko hata bodaboda na mama ntilie.

Katika mama ntilie 10 unakuta 7 wanaakili timamu na uwezo wa kujenga hoja thabit lakn katika walimu 10 unakuta 2-3 ndo wenye uwezo huo.

Hawa watu yakitokea yaliyowakuta madaktar kule Kenya, tutawakuta pale mwanjelwa, kabwe, posta, kariakoo, kimara mwisho, msasani na masak wakiomba omba

Hii kada imelaaniwa.
Hasira za kutombewa demu na ticha unazileta hapa
 
Pamoja na shida zao lakini kwa taarifa yako utakuta wewe umejenga na yeye amejenga hata kama ni kwa mbinde.
Una usafiri hata yeye anaweza kuwa na usafiri
Ninachojua walimu wanatumia hela zao kwa hesabu kali mno
Nikuambie tu hata polisi ni moja ya kada ya kimasikini mno sema wao rushwa inafanya wanajisahau wakistaafu inatia huruma.
Kingine niongezee angalia rate ya kuzeeka hasa walimu wa kike huwa hawezeeki haraka kutokana na nature ya kazi yao.
 
Ukishakuwa tu mtumishi wa UMMA+serikali kuu ni idara chache sana zina Afadhali the rest hakuna tofauri njaa ni kali sana sijui Polisi sijui Mwalimu, sijui
Pamoja na shida zao lakini kwa taarifa yako utakuta wewe umejenga na yeye amejenga hata kama ni kwa mbinde.
Una usafiri hata yeye anaweza kuwa na usafiri
Ninachojua walimu wanatumia hela zao kwa hesabu kali mno
Nikuambie tu hata polisi ni moja ya kada ya kimasikini mno sema wao rushwa inafanya wanajisahau wakistaafu inatia huruma.
Kingine niongezee angalia rate ya kuzeeka hasa walimu wa kike huwa hawezeeki haraka kutokana na nature ya kazi yao
 
Back
Top Bottom