Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Soma mada elewa changia logically acha kukurupukaHaya ni Matusi kwa Walimu wetu sijui ni chuki au kipi kipo nyuma yakk mkuu, Viongozi wengi unaowaona katika nchi hii wemgi chimbuko ni Walimu sasa sijui umetumia utafiti upi kuandika hii Pumba
Kingine mishahara ya GVT tofauti yake ni ndogo sana wachache sana watumishi wa UMMA wanafaidi 80% wote njaa kali kali mkuu wangu
Hapana ndo ukwelUnawasagia sana kunguni mkuu
Na upolisiInauma sana, kuna ambao wamejiongeza wanapiga boda jion, wengine wana tuition centers, wengine wana magenge ,vibanda viosk n.k !
Ualimu ni laana kwa tz !
Hasira za kutombewa demu na ticha unazileta hapaWatumishi wa hii kada ni kama wana laana vile hasa hapa Tanzania, watumishi wake karibia 95% wanategemea mshahara tu kwa 100% ajira hazijawasaidia kabsa kuanzisha miradi ya pemben yenye tija.
Tatizo bado sijajua ni nini haswa lakn hii kada ndo inaongoza kwa vilaza, yan watu ambao hawajui lolote nje ya kada yao ndo wapo uku, elimu yao haikuwasaidia kuyacontroll mazingira yao hata chembe.
Huku ndo unakuta mtumishi hawez hata kuchezesha kipanya cha kompyuta na hii ni 70%, mnakumbuka waliomba semina ya kufundishwa kutumia vishikwambi!!!!
Hawa watu wapo kianalojia zaid kuliko kada zote, washamba wote wapo huko, wajinga na wapumbavu ndo maskan yao huko.
Hawa watu wananjaa kali na roho mbaya, ndo kada pekee inayogombania ajira za muda na jobless!!! Wengine had wanagongwa ili wapate kazi ya muda
Njia yako kuu ya kujiingizia kipato nje ya Mshahara ni kukopa na kukopa na kukopa tu
Ndo kada watu wake wana maswali ya kupumbavu kuliko hata bodaboda na mama ntilie.
Katika mama ntilie 10 unakuta 7 wanaakili timamu na uwezo wa kujenga hoja thabit lakn katika walimu 10 unakuta 2-3 ndo wenye uwezo huo.
Hawa watu yakitokea yaliyowakuta madaktar kule Kenya, tutawakuta pale mwanjelwa, kabwe, posta, kariakoo, kimara mwisho, msasani na masak wakiomba omba
Hii kada imelaaniwa.
Pamoja na shida zao lakini kwa taarifa yako utakuta wewe umejenga na yeye amejenga hata kama ni kwa mbinde.
Una usafiri hata yeye anaweza kuwa na usafiri
Ninachojua walimu wanatumia hela zao kwa hesabu kali mno
Nikuambie tu hata polisi ni moja ya kada ya kimasikini mno sema wao rushwa inafanya wanajisahau wakistaafu inatia huruma.
Kingine niongezee angalia rate ya kuzeeka hasa walimu wa kike huwa hawezeeki haraka kutokana na nature ya kazi yao
Duh ni hatari mkuuUkishakuwa tu mtumishi wa UMMA+serikali kuu ni idara chache sana zina Afadhali the rest hakuna tofauri njaa ni kali sana sijui Polisi sijui Mwalimu, sijui