Ukishakuwa tu mtumishi wa UMMA+serikali kuu ni idara chache sana zina Afadhali the rest hakuna tofauri njaa ni kali sana sijui Polisi sijui Mwalimu, sijui
Uwalimu kila mtu hata bodaboda ndio huona eneo lao la kujidai na kuelezea ugumu wa Maisha, Mzee ukishakubali tu kuwa mtumishi wa UMMA akili yako waza mara 200 mbele
Ni Taasisi/Idara chache sana ndio wanafurahia utumishi wao na % ni wizi na Rushwa tu ila tofauti ya vipato wala hata sio kubwa sana!!