Ualimu ni kazi ngumu sana jamani, ona hii

Ualimu ni kazi ngumu sana jamani, ona hii

KOKUTONA

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
8,651
Reaction score
6,110
Mwl: Tunga sentensi kwa kutumia neno sukari

Mwanafunzi: Jana nilikunywa chai.

Mwl: Neno sukari liko wapi sasa?

Mwanafunzi: Limo kwenye chai.
 
Back
Top Bottom