fanya hivi nenda jwtz au magereza , ukienda magereza na degree yako moja utapata nyota moja ambapo mshahara wa kuanzia ni kama 50 0,000/, posho 150,000/, posho ya ujuzi wako wa ualimu ni kama 120,000/, jumla hapo ni 770,000/ angalau kidogo na baada ya miaka miwili/mitatu utapanda cheo na kuwa na nyota mbili , jwtz utapata nyota mbili kuna posho, posho ya ujuzi,mshahara ,na vitu vingine kibao ,, umejichelewesha sanaa kwenda ualimu