Ualimu umenichosha

Ualimu umenichosha

mafanikio katika maisha hayaletwi kwa dhana ya kulipwa kiasi kikubwa cha fedha.
 
Sasa nafikir wakat wa wewe kuwa mjasilia mal ndo ushafka,cha msing ni kusaka mtaj na kuwekeza kwa kilimo au ufugaj achana na kufkiria mshahara kijana.
 
wazo la JWTZ ni shortcut nzuri sana ila umri wako namashaka nao'wanachukua mwisho 25yrz labda uende bachelor of public relation $ advertising kuna msela wangu full kupaa 2
 
Kashughulsihe na kilimo cha umwagiliaji utakuwa tajiri in no time halafu utaanzisha chuo cha uandishi wa habari.
 
fanya hivi nenda jwtz au magereza , ukienda magereza na degree yako moja utapata nyota moja ambapo mshahara wa kuanzia ni kama 50 0,000/, posho 150,000/, posho ya ujuzi wako wa ualimu ni kama 120,000/, jumla hapo ni 770,000/ angalau kidogo na baada ya miaka miwili/mitatu utapanda cheo na kuwa na nyota mbili , jwtz utapata nyota mbili kuna posho, posho ya ujuzi,mshahara ,na vitu vingine kibao ,, umejichelewesha sanaa kwenda ualimu
 
Pole nenda kajiendeleze fani ambayo ilikuwa ni ndoto yako ukimaliza tafuta kazi ukipata achana na ualimu
 
Pole nenda kajiendeleze fani ambayo ilikuwa ni ndoto yako ukimaliza tafuta kazi ukipata achana na ualimu. Manyanyaso ni mengi na usumbufu pia hasa halmashauri walimu wanasumbuliwa sana mtu atafuatilia jambo lake mbaka atakata tamaa ikiwezekana idara ya sekondari irudishwe kwa katibu Mkuu. Wanyanyasaji ni hao hao walimu ambao wamebahatika kuwekwa Halmashauri wamesahau kuwa wao ni walimu na mwalimu unayemsumbua anawezakuvutwa na yeye akapewa nafasi yako na wewe ukarudi kufundisha inategemea na uongozi
 
Duh pole kaka jifunze kuwa flexible na maisha. Usiache kazi kabla hujapata kazi, isijekuwa kazi ukikosa kazi
king'ast I ackowledge your comment, respect to you bi dada
 
Last edited by a moderator:
Pia tafuta scholarship, ualimu unalipa sana pande zingine za dunia usibane mawazo yako tz tuuu, tumia net vzr ikutoe mawazo ya kujua dunia ni tz tu!
Ingia hapa kuna s:ship nzuri www.adsafrica.com.au
 
Back
Top Bottom