Dah mmedanganyanaeee nimeshindwa kuvumilia...
Sasa sikiliza dogo najua ushatinga bongo na akilini unataman sana kuingia polisi kwa mantiki ya unafuu wa maisha. Kumbuka unafuu wa maisha hauji kwa mshahara wa kulipwa bali kwa juhudi za ziada baada ya muda wa kazi.
Unaweza kuwa mwalimu wa level ya diploma ila kwa kuwa ni mjanja unapiga mishe nyingi unaingiza extra money kuliko yule wa degree anaengojea mwisho wa mwezi apate mshahara.
Baba yangu aliwahi kuniambia yeye hajaajiriwa kwasababu hawezi kufanya biashara bali mshahara kwake ni mtaji wa kuendeleza biashara zake.
Pili, upolisi ni kazi ngumu nimeiona kwa baba yangu. Inahitaji wito kwa kiasi fulani (ndiyo wito! Kama unataka kufanya kazi ya haki) maana kamwe mshahara hautatosha na ww huruhusiwi ata kulalamika licha ya kugoma.
Swali jiulize je, unataka kuingia upolisi kwa sababu gani??! Je ni kwa sababu unaupenda au unataka kumake money?? Je utapoingia job hutakua miongoni mwa wanaoiba mafuta na shaba huko??! Mlevi wa kupindukia?
Pesa nyingi sio source ya furaha bali ni nini utafanya na pesa hizo.
Ni kweli jeshi lipo kwenye maboresho ambayo yatachukua muda at some point mambo yatakua mema.
Lakini naomba nkuibie siri maana mm mtoto wa line...upo tayari kuishi nje ya kambi bila posho ya pango? Ndiyo pamoja na degree yako lazima upangwe malindo na doria maan kuna wakati utakuwa kiongozi...utaongoza nn na hujui kazi za polisi??!
Upo tayari kukaa miaka mitatu bila kuoa?
Apa naomba kumkorekti
SAMITI umri wa kuajiri ni 18-25high xul/28graduates basi.
Jingine lipi nimesahau...
Eniwei dogo usiende tu mahali kwa kua umekosa cha kufanya..kwa polisi ukifanya ivo utapata stress sana...utayakumbuka aya wakikupeleka ccp moshi kule...
Af kuna mtu kaongelea vyeo...ukitoka ccp unatoka kama askari wa kawaida..anaitwa constebo.sio jeshin unatoka na nyota.
Ayo ya vyeo usipoyatilia sana maanani bas utaishi vizuri lasivo utapata stress.
Ucku mwema na interview njema kesho.