Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Mkuu vanmedy kama nimekosea samahani ila nilikuwa nataka kusema tu kwamba walimu mnapunjwa ukiangalia na sekta nyingine mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshimu hisia zako kaka,raha ya kazi si pesa ni upenzi na kuridhika nayo,ona hii,KILA KOSA MTAANI NI HELA YA POLISI LAKINI KILA KOSA LA MWANAFUNZI MWALIMU ANAUMIA KWA KUTOA ADHABU.
hamna lolotewe ni nouma mkuu
ona jinsi lilivyo zembenenda ualimu,achana na kazi za kitumwa kama upolisi. Kwenye upolisi kuna kanuni mbili mbili tu.(i) your boss is always right(ii) for any doubt refer rule no (i).kwa bosi wako we ni robot.kumhoji bosi wako ni uhaini na adhabu ya uhaini jeshini ni kifo.
ushabiki wa mambo usiyoyaelewa wala kuyajua ni ukilaza huowe ni nouma mkuu
lazma ukubali kwamba mwalimu wa degree anayeanza kazi anazidiwa mapato na mwanajeshi/polisi mwenye cerificate,kutokanareturn of the supermen