Ualimu vs upolisi ngazi ya degree. Naomba ushauri.

Mkuu vanmedy kama nimekosea samahani ila nilikuwa nataka kusema tu kwamba walimu mnapunjwa ukiangalia na sekta nyingine mkuu
 
Kaka nenda upolisi lakini ujue kuna amri za ovyo, ona yule dogo kule Iringa kapanda kizimbani peke yake, waliompa amri hawaonekani. bora uhuru wako kuliko kuishi kwa mashaka maana wewe utakuwa unaishi chini ya amri siku zote za kazi hiyo. Si bora uaalimu .
 
Nenda ualimu,achana na kazi za kitumwa kama upolisi. Kwenye upolisi kuna kanuni mbili mbili tu.(i) your boss is always right(ii) for any doubt refer rule no (i).kwa bosi wako we ni robot.kumhoji bosi wako ni uhaini na adhabu ya uhaini jeshini ni kifo.
 
ona jinsi lilivyo zembe
 
nimewasikia wakubwa naomba nisaidiwe majibu ya mwisho yanatoka lini baada ya oral interview na kucheck afya coz website yao inasumbua since jana mwnye taarifa pls let me know
 
return of the supermen
lazma ukubali kwamba mwalimu wa degree anayeanza kazi anazidiwa mapato na mwanajeshi/polisi mwenye cerificate,kutokana
na hilo basi waalimu nilazima warekebishiwe mishahara na kuwe na posho,hii itarejesha ari ya walimu kufanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…