unaweza ukaambiwa na usichape lapa vile vile, jamaa wakazidi kukucheka ujinga. Jibu la uambiwe au usiambiwe litategemea kama unapenda "love iz blind" au unapenda "love is passtime".
Chauro inaonekana unaogopa kuambiwa wewe lolzmi sijui nataka kuambiwa au sitaki maana kila vyote naona kizunguzungu ngoja nifikirie:noidea:
Lets say kuna uhakika....hamna chokochoko, wivu wala unoko!!!Bora kuambiwa uamue mwenyewe kusuka au kunyoa!!!
Hata kama utasamehe itakua ni kwa terms zako binafsi na hutochoreka tena maana huwezi kutamba ama kujionyesha mbele za watu kwamba ni hivi na vile kumbe hujui tu!!!
Chauro inaonekana unaogopa kuambiwa wewe lolz
Wewe niambie na mimi nitatumia muda wangu kwa ajili ya kuchunguza ukweli wa jambo uliloniambia
RR kweli kabisa mtoa habari baadae huja kuonekana ni kama vile mnafiki ila mimi huwa nafikiria kuwa yule mtoa habari inategemea uhusiano wenu wa karibu ukojeWengine wanaambiwa....wanachunguza.....wanathibitisha....wanaombana msamaha.....maisha yao yanaendelea kama kawa.....then mtoa habari anaonekana hana maana.....
Tatizo huwa linakuwa pale unapogundua halafu wengine huwa wanaanza kuwaambia rafiki zao "Kwanini hamkuniambia kwani mlikuwa kimya kwanini mlinificha" basi anaanza ugomvi na marafiki piamaumivu basi bwana finest ,hili limoyo langu haliwezi tena beba vitu acha yakae huko ikitokea nikajua haya tutajuana mbele kwa mbele woi.
Mimi nafikiri kwa hali ya ubinadamu kama kweli unampenda nduguyo ni vema ukamwambia au kumpa tahadhari juu ya mambo flani ambayo hayako sawa. But kama alivyosema nyamayao umwambie kistaarabu. Si lazima uanze na haloo haloooo nimemwona mwaflani kasijui nini nii...................au jana shemeji alikuwa na ,.... hapana tafuta mwanzo mzuri kisha muwe kama mwadiscuss ucheck mwelekeo wake kisha wezamalizia tu na mh kuwa makini mwenzangu maana wanaume/wake hawaaminiki..........likitoka hili toka kwako lazima mwambiwaji atahisi kuna kitu so up to yeye aombe apewe mkanda mzima au aanze chunguza mwenyewe..........Ukikurupuka itakugeukia weye.
Tatizo huwa linakuwa pale unapogundua halafu wengine huwa wanaanza kuwaambia rafiki zao "Kwanini hamkuniambia kwani mlikuwa kimya kwanini mlinificha" basi anaanza ugomvi na marafiki pia
Kabisa Nyamayao halafu mimi naona kama hii ishu kama vile haina formulaukiona lawama zimeanza moja kwa moja na unajua yaliyopo nyuma ya pazia bac huna budi kunyamaza uckilizie tu mwenzio anavyougulia otherwise labda uwe umetajwa kwenye kesi...kama hukutajwa unapiga kimya tu kuepusha malumbano.
Wengine wanaambiwa....wanachunguza.....wanathibitisha....wanaombana msamaha.....maisha yao yanaendelea kama kawa.....then mtoa habari anaonekana hana maana.....
Mkuu ulikuwa wapi ulikuwa busy unajivua MAGAMBA nini??Nadhani hii ndo sababu kubwa ya watu kushindwa kuwaambia,
usaliti anaoufanya mmoja baina ya wapendanao,kwani mwisho wa siku,
AIBU inakuwa kwako!!!!!!!!!
Mkuu ulikuwa wapi ulikuwa busy unajivua MAGAMBA nini??
Yeah...kuchoreka sucks big time. Mbaya sana hiyo aisee....
Binafsi hua nafikiria siku nikiwa kwenye mahusiano alafu mwenzangu akawa sio mwaminifu...mtu wangu yeyote wa karibu akajua ningependa aniambie.Na ikitokea asipofanya hivyo nikaja kugundua alijua akanyamaza ntamkasirikia.
Faida ya kuambiwa ni kwamba unajua kinachoendelea na unajipanga kukabiliana na ulichoambiwa.Ubaya ni pale unapotembea kichwa juu ukijua umepata kumbe kila mtu anajua umepatikana.Wanakuchora kwa maana nyingine.
Je wewe unaonaje?Uambiwe au uachwe kizani?