Uambiwe?!

Uambiwe?!

ofcoz binadam tumeumbwa tofauti...ila kwa mimi mtu akinistua kuhusu my gal kwamba anacheat nitamuona kama mkombozi wangu na rafiki wa kweli (kama taharifa hizo zitakua ni za kweli)...we unayedhan hamna haja ya kuambiwa una small mind...mawazo mgando kweli kweli
 
Ni uamuzi binafsi..kwasababu mtu hachagui kufikiria kama wewe haina maana ana mawazo mgando au wewe ndo mwenye nazo sana!Heshimu mawazo ya watu wengind!
 
Kwakweli mimi staki kuambiwa kabisa,kama ni usaliti niuhisi au kuona mwenyewe.kama kila kitu kinakwenda sawa na naaminishwa vya kutosha na malavedave kibao,ya nini kufukunyua yatakayoniumiza?yawezekana mpnz alikuwa hajatulia kipindi kirefu then baada ya kukupata akawa poa.ukiwaruhusu watu wakuelezee juu ya mtu km huyu,waweza mpoteza bure wakat uliweza kumkaribisha.mie sikwambii ng'o hata km nikipishana naye guest na mwanamke mwingne na wewe ni best yangu.sana sana ntakupa angalizo la kujijali mengine hayatanihusu
 
Kwakweli mimi staki kuambiwa kabisa,kama ni usaliti niuhisi au kuona mwenyewe.kama kila kitu kinakwenda sawa na naaminishwa vya kutosha na malavedave kibao,ya nini kufukunyua yatakayoniumiza?

Wait, stop right there! Kwa hiyo unachosema, kama nimekuelewa vizuri, ni kwamba kwako wewe ni sawa tu hata ukichitiwa na mpenzio ili mradi yeye huyo mpenzio anakufanya uamini kuwa anakupenda? Na kwamba kama kweli anachiti na anafanya juu chini kuficha basi wewe wala hutahangaika kufukunyua na kujua madudu anayoyafanya kwa sababu anakutosheleza kimapenzi?

Haya hebu nambie kama nimekuelewa vizuri unachosema.

Ila kama nilivyokuelewa ndivyo hivyo ulivyomaanisha, basi nitakuwa nimepata 'insight' nzuri sana ya kwa nini wanawake wanaweza kuchangia mwanamme mmoja(kama ilivyo kwenye baadhi ya ndoa na hata mahusiano yasiyo ya kindoa) wakati kwa wanaume kuchangia mwanamke mmoja inakuwa kasheshe.

We are wired very very differently. And whoever said men are from Mars and women are from Venus wasn't too far from the truth.
 
Jamani mambo mengin e
Yanauma sana mie borea nisiambiwe
maana hapo hujui mtu anakwambia hayo kwa nia gani
1. Anawaonea wivu
2.ni kweli yametokea
Siku hizi ngumu sana kuamini maneno ya watu
saa nyingine hata ndugu wanawivu nawe..

Kwa mimi nisipohakikisha kwa haya macho basi cha kuambiwa
sintokielewa..
 
jamani mambo mengin e
yanauma sana mie borea nisiambiwe
maana hapo hujui mtu anakwambia hayo kwa nia gani
1. Anawaonea wivu
2.ni kweli yametokea
siku hizi ngumu sana kuamini maneno ya watu
saa nyingine hata ndugu wanawivu nawe..

Kwa mimi nisipohakikisha kwa haya macho basi cha kuambiwa
sintokielewa..
nimekumiss
 
Binafsi hua nafikiria siku nikiwa kwenye mahusiano alafu mwenzangu akawa sio mwaminifu...mtu wangu yeyote wa karibu akajua ningependa aniambie.Na ikitokea asipofanya hivyo nikaja kugundua alijua akanyamaza ntamkasirikia.

Faida ya kuambiwa ni kwamba unajua kinachoendelea na unajipanga kukabiliana na ulichoambiwa.Ubaya ni pale unapotembea kichwa juu ukijua umepata kumbe kila mtu anajua umepatikana.Wanakuchora kwa maana nyingine.
Je wewe unaonaje?Uambiwe au uachwe kizani?

Tatizo ni hasa vyie wanawake mnambiwa na wanawake wenzenu kuwa mumeo/bf anatembea na mwanamke mwingine hamkubali. Nimeshughudia sana hili na marafiki wangu wa kike wengi walishawahi kuniomba ushauri wafanye nini b'se rafiki yao kaziba masikio hataki kusikia wanachomwambia.
 
nimekumiss
Hata mie
Nime kumisoje hahaha lol
daaahh haka ka wimbo katamu
kamenijia kichwani hembu kasikilize
kataaaamu kweli
Bonjangles (dirty) pitbull FT lol Jo
Hahahah lol hope is friday over there
na unajianda kwenda viwanja saa tamu zikifika
 
Jamani mambo mengin e
Yanauma sana mie borea nisiambiwe
maana hapo hujui mtu anakwambia hayo kwa nia gani
1. Anawaonea wivu
2.ni kweli yametokea
Siku hizi ngumu sana kuamini maneno ya watu
saa nyingine hata ndugu wanawivu nawe..

Kwa mimi nisipohakikisha kwa haya macho basi cha kuambiwa
sintokielewa..

We dearest bana...kwahiyo nikimwona desh desh niuchune??
 
Tatizo ni hasa vyie wanawake mnambiwa na wanawake wenzenu kuwa mumeo/bf anatembea na mwanamke mwingine hamkubali. Nimeshughudia sana hili na marafiki wangu wa kike wengi walishawahi kuniomba ushauri wafanye nini b'se rafiki yao kaziba masikio hataki kusikia wanachomwambia.

Ofcoz kukubali bila kuhakikisha mwenyewe sio busara.Huwezi kuchukua maneno ya kusikia na kuyafanyia maamuzi.Mwingine anajua kabisa hata kama ni kweli siwezi kumuacha hivyo anaziba masikio!
 
Firstlady kwahiyo bora muwe zaidi ya wawili kwenye uhusiano wenu as long as unaonyeshwa mapenzi??We utakua mwanamke wa ndoto za baadhi ya wanaume aisee!
 
Mhhh! Lizzy Lizzy Lizzy

Hahahaha!Just checking juh juh just checking!Sitaki kuonekana mmbea wala kununiwa!Enhe na wewe sema nikikuona nikufanyeje?Nakuja ulipokaa alafu nakwambia shem naomba unitambulishe...sijui utaniambia ni nani wako!
 
We dearest bana...kwahiyo nikimwona desh desh niuchune??

My dear we bora
uuchune mie kelele sitaki
maana zile kengele ulizozisikia
usiku bado zinanitibua nyongo..
Hahahahahahahah lol
 
That's when we say denial (The Nile) is not only a river in Egypt!

True that!Some people prefer living a lie because they can controll it.Fill themselves up with what they want and ignore the rest!
 
My dear we bora
uuchune mie kelele sitaki
maana zile kengele ulizozisikia
usiku bado zinanitibua nyongo..
Hahahahahahahah lol

Hahahaha jamani pole dearest!Umechoka mwenyewe..sasa ili nisikuongezee stress basi ntamnyoosha kichinichini!Hapo vipi?
 
Hahahaha!Just checking juh juh just checking!Sitaki kuonekana mmbea wala kununiwa!Enhe na wewe sema nikikuona nikufanyeje?Nakuja ulipokaa alafu nakwambia shem naomba unitambulishe...sijui utaniambia ni nani wako!
Aisee mimi haitotokea SO GOD HELP ME
 
Back
Top Bottom