Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,039
- 7,465
copy....ova!Aisee una hatari sana, ile kitu BRAND NEW usisahau kuja nayo kwenye kikao inaweza kuwa na wadau wengine tunajua vitu vya mfadhili vinaheshimika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
copy....ova!Aisee una hatari sana, ile kitu BRAND NEW usisahau kuja nayo kwenye kikao inaweza kuwa na wadau wengine tunajua vitu vya mfadhili vinaheshimika
roy ni mwaminifu ama lah
dig dig wamesema NDIYO ST ROY ni mwaminifu....(baba gift uyo na finest)
Magazijuto ni lugha ya kimaandishi.nmaanisha lugha ya kiroho katika mahesabu ya kumtoa roho mchafu katika mwili wa mtu safi.
copy that!ova and out!.....JJ vp leo?copy....ova!
It's tough to get a handle on how many of us are having affairs, given the inherent secrecy. [/SIZE]
copy that!ova and out!.....jj vp leo?
..........utazunguka mabucha yote lakini nyama ni ile ile.
okay....ndo maana kumbe.......kuna mahali nimesoma eti auminifi ni function ya time, (sasa sijui na space ama)
hebu ngoja nijaribu kuderive
UAMINIFU=F(Time, space, material well being, tribe, age, age in relationship,......................N)
where N is any other factor that my influence UAMINIFU)
wakulu wa mahesabu GY, Big, Eng. Asprin, hebu wekeni sawa kimahesabu hapo....
Pretty, inategemea unatoka kwenda wapi, kama ni sokoni au kuangalia mpira ni sawa, ila kama unaenda kukutana kimwili na mpenzi mwingine ndio soo.....Kwa nini isiwezake?Kama uliamua kuoa au kuolewa kwa nini utoke nje ya ndoa yako? Ni msimamo wa mtu tu.....utazunguka mabucha yote lakini nyama ni ile ile.Hivyo waaminifu wapo sana ni uamuzi wa mtu tu.
Tru dat mkuu...Hapana Pretty...huo msemo mi sikubaliani nao. 'Nyama' zinatofautiana bana...asikudanganye mtu. Uliza wazoefu watakwambia.....
consider now....!consider now A BODY IS MOVING VERE VERE FAST WITH INITIAL VELOCITY 0M/S.......!actually a body itself cannot move bikooz it is time to stop JJ for some few bottles!Given N = Time factor and is equal to time between wedding day and honeymoon day, then using multiplier effect, cheating is impossible...
But if N= Time factor and is equal to time between wedding day and any other period beyond honeymoon, then using the "Adam Smith REALITY factor, cheating is possible with 50% confidence and significance level
and THEREFORE, IF n = Time factor and is equal to time between wedding day and any other period after 5years, then using the maturity model and the fact theorem, cheating is possible and necessary for marriage survival by 100% confidence level and 0% signifance level
Am still on honeymoon though
Roger!
.....Kwa nini isiwezake?Kama uliamua kuoa au kuolewa kwa nini utoke nje ya ndoa yako? Ni msimamo wa mtu tu.....utazunguka mabucha yote lakini nyama ni ile ile.Hivyo waaminifu wapo sana ni uamuzi wa mtu tu.
consider now....!consider now A BODY IS MOVING VERE VERE FAST WITH INITIAL VELOCITY 0M/S.......!actually a body itself cannot move bikooz it is time to stop JJ for some few bottles!
Roja dat!!Given N = Time factor and is equal to time between wedding day and honeymoon day, then using multiplier effect, cheating is impossible...
But if N= Time factor and is equal to time between wedding day and any other period beyond honeymoon, then using the "Adam Smith REALITY factor, cheating is possible with 50% confidence and significance level
and THEREFORE, IF n = Time factor and is equal to time between wedding day and any other period after 5years, then using the maturity model and the fact theorem, cheating is possible and necessary for marriage survival by 100% confidence level and 0% signifance level
Am still on honeymoon though
Roger!
Katika siku za karibuni tulikuwa ktka maongezi vijana wenzangu kadhaa me na ke mchanganyiko. Katika kuchangia mojawapo ya hoja nikasema "Siwezi kuwa na nyumba ndogo wakati mke wangu nampenda na nimemchagua mwenyewe". Ajabu ni jinsi nilivyoshambuliwa na wasikiizaji wangu, (wenye ndoa na wasio na ndoa) kuonyesha kutokubaliana nami huku wakisema "Unayasema kwa kuwa tu umeoa juzi".
Sasa naomba msaada wemu wadau, je, Inawezekana kuwa na mwanandoa mwaminifu 100%? Na kama ndiyo, ni wangapi ktk 100?
Nyama ziko tofauti mpenzi
kuna zenye meno
kuna zenye misumeno na msasa
kuna za moto, kuna za baridi
kuna zenye mchanga na kuna zenye kokoto
kuna zenye maji na mabwawa
kuna kavu
kuna ndefu
kuna fupi
kuna zenye feni
He hazihesabiki mpendwa shukuru mungu uliyenae karidhika na hicho ulichonacho na endelea kuomba asizunguke zunguke hovyo
Right Maty, and you ahve ended well kwa kusema shukuru mungu... anything seems so unique at the first time, it feels like heaven, but after a few encounters, things change... however, Nyama ni tofauti
Pray that you minimise infidelity rather than assuming you can live 100% infidelity-less