Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

Je kwa wenzetu wanaooa wanawake 4,,je hii mada inawahusu kuchangia?
 
Mambo haya ni magumu kaka yangu niliwahi kaa na kaka mmoja yeye ni mzungukaji sana akaanza kunihadithia hasa sisi wanawake tunavyotofautina hiyo kitu nilichoka. Bora ya nyinyi wanaume sana sana kama kasoro itakuwa ndogo labda kibamia au kidogo lakini hicho hicho kidogo mwanaume akijua kukitumia vizuri aaaaaaaaaaaaaa mambo yanaenda sawa ngoma kwetu akina she kama ndio una mkosi zaidi umezaliwa kwa baridi cjui utafanya njia gani upashe moto au huko bwawa cjui utalikaushaje mwe mungu tu aingilie kati lol
The Following User Says Thank You to Maty For This Useful Post:

Bigirita (Today)​
 
inawezekana
inawezekana
wapo
wapo
wapo
km haujawai ona bas pole
kuna watu si mapadre na wala si masista lakin wana ucha mungu+wanamuogopa mungu kiukweli so hawez akaitenda dhamb i
-kuna watu wanapendana kiukweli..na ukimpenda mtu kiukweli autopenda fanya lolote la kumuumiza (ATA KM HATOJUA KM UMESWAP NJE)..
WATU HAWA WAPO WAAMINIFUUUUUUUUUUUUUU MPK RAHA....
waambie mi mwenyewe nipo ndani ya ndoa leo mwaka wa kumi sijawahi kutoka nje
 
Like to give away cocks...Diana is afraid, any new ideas?

So you like cocks, right? coz if you didn't like 'em why would you keep 'em? I can call you 'cock liker' au 'cock keeper'....pick one
 
Back
Top Bottom