una Rifle ama AK47 uikoki kabisa.....haya MAGEGO yanaweza kuwa na madhara
halafu Rose kwani, RR hana MAGEGO?:nono::nono:
thank you thats so sweet from you.....:love:
Noe u r buffering..arent u>...LOL
Orait, utamkuta babu kaketi kwenye kigoda, kaushikilia mkongojo wake. Usisahau ugoro.roy ana yote magego meno mapengo
bt wor nt babu m onma way comng 2u...ili nipate iyo dawa!!!
I knew it! Was defending myself. Japo sikupendi, how are yo my dearest? Long time to see.Nilikuwa naelekea kwako but I have changed my mind.....
And I think I have missed the Saint too....
The st. is here......you haven't been around lately....
Kwani tatizo lako ni magego yangu au kiuno changu?
Martenity leave..........!
Uliila mara ya mwisho lini bana...
Orait, utamkuta babu kaketi kwenye kigoda, kaushikilia mkongojo wake. Usisahau ugoro.
I knew it! Was defending myself. Japo sikupendi, how are yo my dearest? Long time to see.
The st. is here......you haven't been around lately....
fl1... SIJUI KWANINI ILA HIYO AVATAR YAKO HAPANA... HAIJAKA VYEMA, NAONA HUYO MWANAMKE KATA ANAVUNJA SHINGO SIJUI, AU KAJITWIKA ZIGO HIVIRose1980 uwe unakumbuka hicho kidude cha thanx kuwagongea wenzio teteteteh
Aah...what a nice way to show love! Am doing good...
Oh but am here....its jus that you have been way too occupied lately!
Oh but am here....its jus that you have been way too occupied lately!
ohooo....fitna imeanza sasa.....πeep:
I rest my case............
ohooo....fitna imeanza sasa.....πeep:
Katika siku za karibuni tulikuwa ktka maongezi vijana wenzangu kadhaa me na ke mchanganyiko. Katika kuchangia mojawapo ya hoja nikasema "Siwezi kuwa na nyumba ndogo wakati mke wangu nampenda na nimemchagua mwenyewe". Ajabu ni jinsi nilivyoshambuliwa na wasikiizaji wangu, (wenye ndoa na wasio na ndoa) kuonyesha kutokubaliana nami huku wakisema "Unayasema kwa kuwa tu umeoa juzi".
Sasa naomba msaada wemu wadau, je, Inawezekana kuwa na mwanandoa mwaminifu 100%? Na kama ndiyo, ni wangapi ktk 100?
Babu nina nia ya kuja kumchukua mjukuu wako hautakaa nae daima
Babu ameishaanza kuingiwa na wasiwasi
umemuanza mwenyew...tena uache kumchokoza bruda wangu..
@ babu...jana nikuwa geto tu km wewe ulivyokuwa umejifungia kwa mjukuu!!!!!
Hahaaaa.....weekend inaanza...
Hivi mjukuu wako si daktari wa binadamu?