Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

una Rifle ama AK47 uikoki kabisa.....haya MAGEGO yanaweza kuwa na madhara

halafu Rose kwani, RR hana MAGEGO?:nono::nono:

roy ana yote katika yote
yan ni km google vile ..kila ninacho ask kinajibiwa accdngly..n page is open 24 7 hakunaga ile et..the window can not dsplay..try again leta..nono nooooooooooooo hakunaga izo kwa roy............
 
roy ana yote magego meno mapengo
bt wor nt babu m onma way comng 2u...ili nipate iyo dawa!!!
Orait, utamkuta babu kaketi kwenye kigoda, kaushikilia mkongojo wake. Usisahau ugoro.

Nilikuwa naelekea kwako but I have changed my mind.....
I knew it! Was defending myself. Japo sikupendi, how are yo my dearest? Long time to see.
 
Kwani tatizo lako ni magego yangu au kiuno changu?

Kiuno ikiwa disabled wewe kwishenei na magego yako....
BTW: Magego yako karibu mno na medula...busara zako zinhitajika bado.
 
Orait, utamkuta babu kaketi kwenye kigoda, kaushikilia mkongojo wake. Usisahau ugoro.

I knew it! Was defending myself. Japo sikupendi, how are yo my dearest? Long time to see.

Aah...what a nice way to show love! Am doing good...
 
Rose1980 uwe unakumbuka hicho kidude cha thanx kuwagongea wenzio teteteteh
fl1... SIJUI KWANINI ILA HIYO AVATAR YAKO HAPANA... HAIJAKA VYEMA, NAONA HUYO MWANAMKE KATA ANAVUNJA SHINGO SIJUI, AU KAJITWIKA ZIGO HIVI
 
kwa hiyo na wewe tayari umeshaamini kuwa haiwezekani eti? acha uzushi wa tamaa za watu,Kuna watu wanaaoishi bila vimada na inawezekana kabisa.
Katika siku za karibuni tulikuwa ktka maongezi vijana wenzangu kadhaa me na ke mchanganyiko. Katika kuchangia mojawapo ya hoja nikasema "Siwezi kuwa na nyumba ndogo wakati mke wangu nampenda na nimemchagua mwenyewe". Ajabu ni jinsi nilivyoshambuliwa na wasikiizaji wangu, (wenye ndoa na wasio na ndoa) kuonyesha kutokubaliana nami huku wakisema "Unayasema kwa kuwa tu umeoa juzi".

Sasa naomba msaada wemu wadau, je, Inawezekana kuwa na mwanandoa mwaminifu 100%? Na kama ndiyo, ni wangapi ktk 100?
 
Babu nina nia ya kuja kumchukua mjukuu wako hautakaa nae daima

Babu ameishaanza kuingiwa na wasiwasi

umemuanza mwenyew...tena uache kumchokoza bruda wangu..
@ babu...jana nikuwa geto tu km wewe ulivyokuwa umejifungia kwa mjukuu!!!!!

Hahaaaa.....weekend inaanza...

Hivi mjukuu wako si daktari wa binadamu?

.............The Finest............wewe ndie umemficha Babu?? Maana sielewi kabisa hii thread
 
Back
Top Bottom