Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

nahic mtoa mada bado mbichi kwenye hii sector! 100%? kwenye hii hii world au kuna nyingine imeanzishwa mpya?
 
Katika siku za karibuni tulikuwa ktka maongezi vijana wenzangu kadhaa me na ke mchanganyiko. Katika kuchangia mojawapo ya hoja nikasema "Siwezi kuwa na nyumba ndogo wakati mke wangu nampenda na nimemchagua mwenyewe". Ajabu ni jinsi nilivyoshambuliwa na wasikiizaji wangu, (wenye ndoa na wasio na ndoa) kuonyesha kutokubaliana nami huku wakisema "Unayasema kwa kuwa tu umeoa juzi".

Sasa naomba msaada wemu wadau, je, Inawezekana kuwa na mwanandoa mwaminifu 100%? Na kama ndiyo, ni wangapi ktk 100?

:smile-big::smile-big::smile-big: inawezekana tena sana, kwanza kabisa inabidi tuwe na hofu ya Mungu na pili ni kuridhika na wapenzi wetu. Tatizo watu wanafuata mkumbo tu siku hizi, ukionekana ukom mwaminifu katika ndoa yako unaonekana bonge la mshamba. TUBADILIKE NDUGU UAMINIFU UNAWEZEKANA.
 
@Samora10, nina ndugu kaolewa na mweupe na until now wameishi miaka 45, na anakwambia kwa muda wote hajawai kutoka nje zaidi ya mkewe tu! so its possible, UAMINIFU IKUANZIE WEWE:smile:

apo chachaaaaaaaaaa!!
kwa vile wao wanachakachua nje basi wanaona dunia nzimaaaaaaaa bnadamu woooooote wanapiga kaz za nje........
wangekuwa hawana tabia ya kuswap nje idea ya mapenz bila kuswap nje INAWEZEKANA.
 
wanamsingizia tu
hayana ukweli wowote
usiwaamini awa dig dig ...watakuchakachua iman na trust yako kwa ba paroko!!!!!!!
nina sababu yoyote ya kumsingizia roya?
yaani alinikabidhi rozi nimridhishe kufuatia maradhi yake ya kisukari kuishusha performance yake halaf leo nimsingizie?NO

bai dhe wei roz leo usisahau PALE PALE PA JANA!
 
nahic mtoa mada bado mbichi kwenye hii sector! 100%? kwenye hii hii world au kuna nyingine imeanzishwa mpya?
Umeona eeh?!haya zawadi yako hii hapa:
The Following User Says Thank You to Nyamayao For This Useful Post:

Baba Gift (Today)​
 
Wandugu

Hiyo 3% ni kama akina Kahamba (married for a year or two)! of which sisi wenye ndoa ya muda mrefu miaka miwili ya ndoa ni "honeymoon" maana hata kama Mungu amejaalia sana sana Mama Kahamba atakuwa na ujauzito, otherwise 100% ya waliomo kwenye ndoa for 5+ years walishawahi kufanya ngono nje ya mahusiano yao ya Ndoa!

I hope that clears the sky!
 
Sure Rose, inabidi watu wabadilike na wepende kweli, na muhimu kumwogopa Mungu
 
nina sababu yoyote ya kumsingizia roya?
yaani alinikabidhi rozi nimridhishe kufuatia maradhi yake ya kisukari kuishusha performance yake halaf leo nimsingizie?NO

bai dhe wei roz leo usisahau PALE PALE PA JANA!
hahah hahahahahaaaaaaaa!!!
dahh umesomea propaganda+uzandiki?
eehh we chiboko unaweza ukamfanya mtu achinjwe ivi iv
sawa ntakuja bt usichelewe km jana......manake jana kdg tu tubambwe....ukimaliza futa as usual(UAMINIFU UNAWEZEKANA)
:yield::yield::yield::yield:
 
hahah hahahahahaaaaaaaa!!!
dahh umesomea propaganda+uzandiki?
eehh we chiboko unaweza ukamfanya mtu achinjwe ivi iv
sawa ntakuja bt usichelewe km jana......manake jana kdg tu tubambwe....ukimaliza futa as usual(UAMINIFU UNAWEZEKANA)
:yield::yield::yield::yield:
nishafuta!
mgonjwa wako hawezi kuisoma kabisa hii!.....
 
Sure Rose, inabidi watu wabadilike na wepende kweli, na muhimu kumwogopa Mungu

YAP
GOD Z EVTHNG
UKIMWAMIN ATAKUJAZA BUSARA NA HEKIMA AMBAZO KWAZO MTU ATAJUA KUISH KTK MISING MEMA NA MKEWE/MUMEWE
KATIKA MAISHA AYA AMBAYO SHETAN KATUTAWALA ...TUTAISHIA KUSEMA HAIWEZEKAN KWA SABABU HATA AKILI NA MATAENDO YETU PIA KAYASHIKA YEYE SO TUNAISHIA KUTENDA NA MABAYA NA MWSHO WA SIKU KWELI TUNAONA ahh aiwezekan
mungu atusaidie!!!
 
Wandugu

Hiyo 3% ni kama akina Kahamba (married for a year or two)! of which sisi wenye ndoa ya muda mrefu miaka miwili ya ndoa ni "honeymoon" maana hata kama Mungu amejaalia sana sana Mama Kahamba atakuwa na ujauzito, otherwise 100% ya waliomo kwenye ndoa for 5+ years walishawahi kufanya ngono nje ya mahusiano yao ya Ndoa!

I hope that clears the sky!

leo nipo na wewe kabisa, uaminifu wa 100% haupo na hautakuwepo....
 
YAP
GOD Z EVTHNG
UKIMWAMIN ATAKUJAZA BUSARA NA HEKIMA AMBAZO KWAZO MTU ATAJUA KUISH KTK MISING MEMA NA MKEWE/MUMEWE
KATIKA MAISHA AYA AMBAYO SHETAN KATUTAWALA ...TUTAISHIA KUSEMA HAIWEZEKAN KWA SABABU HATA AKILI NA MATAENDO YETU PIA KAYASHIKA YEYE SO TUNAISHIA KUTENDA NA MABAYA NA MWSHO WA SIKU KWELI TUNAONA ahh aiwezekan
mungu atusaidie!!!

Rose....hebu jamani, nadhani upo kwenye uhusiano kwa namna moja au nyingine, unamwamini huyo swity wako 100%?
 
lakini wandugu BOTTOM line lazima tuukubali ukweli wa mambo!inacikitisha sana watu wanapozikataa facts!mimi nitaendelea na mahubiri yangu na siku zote nitakuwa mkweli!

MSISITIZO:sheria zifuatazo zizingatiwe:
Zijue sheria ''mama' za infidelity...

well hapa haitakiwi kuongea sana,ni kuzishusha tu kama ifuatavyo:
1-INFIDELATORS wanatakiwa kugharamia kikao cha kwanza wanapokutana na infideletees wapya kwa asilimia 100

2-
INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)

3-
INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI

4-
INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kuwa na umri wa watu wazima(18+.....!hii ilikuwa sababu pekee ya kumtoa georgieporjie kwenye uanachama)

5-
INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima wawe wanapandisha mvinyo kwa wingi (unywaji wa valuu una ''added advantage'')

6-
INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima awe na ''defined-marital status'',lazima awe ameoa/ameolewa (huwezi kufanya infidelity wakati wewe hujaoa-hapo unakuwa unafanya zinaa tu!...infidelity kwa ujumla wake lazima kwanza uoe/uolewe:eyebrows::eyebrows::eyebrows:!samahani kama nawakwaza hapa ndugu zangu).

7-
KWAKUZINGATIA SHERIA NAMBA 7 TAJWA HAPO JUU-infidelators watakaoingia kwenye NEC ni wale waliooa/olewa tu!wengine hao wanakuwa members tu kwasababu tunawajali sana zaidi ya hapo HAWANA KURA YA VETO

8-
INFIDELATORS/INFIDELETEES watahakikisha wanapigana kufa na kupona kuzilinda na kuzitetea ndoa za infidelators/infideletees wenzao!(ndoa na iheshimiwe na watu wote).naomba hii sheria muiangalie kwa umakini mkuu!hakikisha kufa kupona unafanya unaloweza kuhakikisha ndoa ya mwanachama haitetereki.

9-
INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).

10-
INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu

11-
INFIDELITY IS THERE TO STAY....!kwanini?kwasababu infidelity ni tiba ya KANSA YA KIBOFU!hapa pana mjadala mzito kidogo ingawa hauhitaji journals!

12-
INFIDELATORS/INFIDELETEES wanalazimika(kwa hali na mali) kuwa na simu zaidi ya moja...!hasa hasa wanapaswa kuwa na simu moja HOT-LINE itakayokuwa fixed ofisini au eneo lako la kazi.Simu hiyo itatumika kwa ajili ya taratibu zote za infidelity(hapa ni mambo ya promises,appointments na kujuliana hali).kwa kufanya hivyo sheria tajwa namba 8 itakuwa inatekelezeka.

13-
INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kulindana,kutunziana heshima,kutunziana siri.ni marufuku kuzianika taarifa za infidelator/infideletee kwenye chombo chochote kile cha habari au mitandao.
 
Rose....hebu jamani, nadhani upo kwenye uhusiano kwa namna moja au nyingine, unamwamini huyo swity wako 100%?

SIMWAMINI
lakin haina maana hakuna watu waaminifu
nimeona watu kiukweli waaaminfu dada nyamayao
bt mmh mmh sijui bwana manake sjamalizia kukua vzur so siwez sema neno kuu apa ....
MI NACHANGAMSHA JAMV TU APA ..nt serious kivile cz sjawai kuexperience mandoa sjui manini ayo ya kuwa commmited kabsa kabsa..bado namalizia kukua..
DA NYAMAYAO UR CORRECT BWANA...(uwaga nakupenda +nakueshimu sana cz mara nying napataga kitchen pat ya bure apa tokakwako ..n i lik yr style...unapenda ukweli nthng else...unafiki kwako mwiko na kuremba kinyago hauwez,.. ilike t)
 
Habari Senyu nduku saangu?

babu ndo anaamka nakuta hii sredi imekimbiswa na ngufu sa vijana bana! Kuna mutu yoyote nawesa muambia babu kwamba hapa leo MNAJADILI ndoa za Kina Mama Tereza au hizi za kina JACOB ZUMA?
 
huyu bado yuko hanemuun!
angetuuliza siye wa ''miaka mingi''

lol...unayo mingapi baba G?...kama baba E anayo 15, sasa huyu huyu baba E au angekuwa baba C au D awe mwaminifu 100%?...:nono::nono:
 
Back
Top Bottom