Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika siku za karibuni tulikuwa ktka maongezi vijana wenzangu kadhaa me na ke mchanganyiko. Katika kuchangia mojawapo ya hoja nikasema "Siwezi kuwa na nyumba ndogo wakati mke wangu nampenda na nimemchagua mwenyewe". Ajabu ni jinsi nilivyoshambuliwa na wasikiizaji wangu, (wenye ndoa na wasio na ndoa) kuonyesha kutokubaliana nami huku wakisema "Unayasema kwa kuwa tu umeoa juzi".
Sasa naomba msaada wemu wadau, je, Inawezekana kuwa na mwanandoa mwaminifu 100%? Na kama ndiyo, ni wangapi ktk 100?
@Samora10, nina ndugu kaolewa na mweupe na until now wameishi miaka 45, na anakwambia kwa muda wote hajawai kutoka nje zaidi ya mkewe tu! so its possible, UAMINIFU IKUANZIE WEWE:smile:
nina sababu yoyote ya kumsingizia roya?wanamsingizia tu
hayana ukweli wowote
usiwaamini awa dig dig ...watakuchakachua iman na trust yako kwa ba paroko!!!!!!!
hahah hahahahahaaaaaaaa!!!nina sababu yoyote ya kumsingizia roya?
yaani alinikabidhi rozi nimridhishe kufuatia maradhi yake ya kisukari kuishusha performance yake halaf leo nimsingizie?NO
bai dhe wei roz leo usisahau PALE PALE PA JANA!
nishafuta!hahah hahahahahaaaaaaaa!!!
dahh umesomea propaganda+uzandiki?
eehh we chiboko unaweza ukamfanya mtu achinjwe ivi iv
sawa ntakuja bt usichelewe km jana......manake jana kdg tu tubambwe....ukimaliza futa as usual(UAMINIFU UNAWEZEKANA)
:yield::yield::yield::yield:
nahic mtoa mada bado mbichi kwenye hii sector! 100%? kwenye hii hii world au kuna nyingine imeanzishwa mpya?
Sure Rose, inabidi watu wabadilike na wepende kweli, na muhimu kumwogopa Mungu
Wandugu
Hiyo 3% ni kama akina Kahamba (married for a year or two)! of which sisi wenye ndoa ya muda mrefu miaka miwili ya ndoa ni "honeymoon" maana hata kama Mungu amejaalia sana sana Mama Kahamba atakuwa na ujauzito, otherwise 100% ya waliomo kwenye ndoa for 5+ years walishawahi kufanya ngono nje ya mahusiano yao ya Ndoa!
I hope that clears the sky!
nishafuta!
mgonjwa wako hawezi kuisoma kabisa hii!.....
YAP
GOD Z EVTHNG
UKIMWAMIN ATAKUJAZA BUSARA NA HEKIMA AMBAZO KWAZO MTU ATAJUA KUISH KTK MISING MEMA NA MKEWE/MUMEWE
KATIKA MAISHA AYA AMBAYO SHETAN KATUTAWALA ...TUTAISHIA KUSEMA HAIWEZEKAN KWA SABABU HATA AKILI NA MATAENDO YETU PIA KAYASHIKA YEYE SO TUNAISHIA KUTENDA NA MABAYA NA MWSHO WA SIKU KWELI TUNAONA ahh aiwezekan
mungu atusaidie!!!
Shem,
Leo naomba nikugongee Thanks for this useful post!
huyu bado yuko hanemuun!mtoa mada katoka honeymoon last week, avute subira tu mambo yatajiseti yenyewe bila yeye kujijua.
Rose....hebu jamani, nadhani upo kwenye uhusiano kwa namna moja au nyingine, unamwamini huyo swity wako 100%?
huyu bado yuko hanemuun!
angetuuliza siye wa ''miaka mingi''