Uaminifu na Heshima

Uaminifu na Heshima

Dah uzi umenigusa sana , binafsi napenda kuwa mwaminifu kwa kila mtu na kuheshimu kila mtu , napenda kila mtu afurahi na ninatamani iwe hivyo , japo siwezi kusababisha hilo kwa kila mtu na viumbe vyote , hiyo ndiyo huzuni yangu kuu.
 
Tafuta pesa mkuu,jenga,somesha,tunza familia yako...heshima utaipata kwa chawa na siku ya msiba wako ila uaminifu utaukuta mbinguni kama utapata post huko.
 
Back
Top Bottom